Unafiki na uzandiki wa media zetu: RIP Kanumba na Katiba Mpya

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka

1. Juzi tarehe 7.04.2012 baada ya kifo cha Kanumba wakati nasafiri nilisikia mtangazaji wa clouds FM alikireport kutoka msibani sinza kwa kanumba eti anatoa number ya M-PESA ili watu wachangie maandalizi ya msiba (hiki kilikuwa kitendo cha kipumbafu kwa clouds FM kujinufaisha na Msiba wa marehemu)

2. Sitoshangaa kuona hata media yeyote ikijishughulisha kuleta mikutano LIVE ya katiba mpya kama wanavyofanya kwa Kanumba( Huu ndo Unafika wa Media zetu zikijiendesha kwa bahasha kama NUKUU ya Pasco wa JF)

3. Leo Media Nyingi ziko busy na msiba wa Kanumba na Kurusha LIVE lakini ikifika mambo yenye manufaa kwa TAIFA wanatupia kisogo

RIP Kanumba
RIP Katiba Mpya
 
Ndio media maslahi hizo ndugu, katiba nani atatoe hela sasa? tanzania itajengwa na wenye moyo
 
Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania
muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka

1. Juzi tarehe 7.04.2012 baada ya kifo cha kanumba wakati nasafiri nilisikia mtangazaji wa clouds
FM alikireport kutoka msibani sinza kwa kanumba eti anatoa number ya M-PESA ili watu wachangie
maandalizi ya msiba (hiki kilikuwa kitendo cha kipumbafu kwa clouds FM kujinufaisha na Msiba wa marehemu)

2. Sitoshangaa kuona hata media yeyote ikijishughulisha kuleta mikutano LIVE ya katiba mpya kama wanavyofanya
kwa kanumba( Huu ndo Unafika wa Media zetu zikijiendesha kwa bahasha kama NUKUU ya Pasco wa JF)

3. Leo Media Nyingi ziko busy na msiba wa kanumba na Kurusha LIVE lakini ikifika mambo yenye manufaa kwa TAIFA
wanatupia kisogo

RIP kanumba
RIP katiba mpya

Kaka ungesoma marketing usingeuliza ungeona ni kawaida. Ila nakushauri kama unataka kuishi zaidi usisikilize clouds kuna research inaendelea kuonesha kuwa clouds fm inapunguza life expectance ya watz,wengi wakisikiliza wanalalamika na roho zao zinawauma. usisikilize mkuu
 
Mkuu nimesoma Marketing Pale UDSM najua kinachofanyika kwa media kutaka kupata wasikilizaji na wasomaji
does this work out for governmental delegate kujipanga kwenda kwa kanumba na media zikiwa nyuma yao?

Mimi sio msikilizaji mzuri wa clouds fm bahati mbaya nilikuwa naenda airport nikiwa kwenye Tax ndo jamaa akawa ameweka
 
559436_331954373536758_42109744_n.jpg
 
Cloudz sio ya kuijadili humu ,hawa ni watu wenye tabia ambayo haifanani na utamaduni wa binadamu waliostaraabika.Wanatumia chombo chao vibaya kwa manufaa ya wachache ambao wanaamini wao ni waerevu kupita wengine.

R.I.P Steven Kanumba
R.I.P Katiba mpya
 
JF Bana toka Mdee atangaze kumtetea Lulu na ninyi mmeanza kumkandia kanumba na medias kanumba alikuwa ni star... alikuwa anaburudisha ile jamii yetu ya uswazi... kama hamkubali .. wapo wanaomkubali... nendeni kwake Vatican sinza pale mkaone huo umati.

jana kabla ya msimano wa mdee na zito watu humu mlikuwa mkimsifia alikuwa ni mpiganaji kwani alikuwa na mpango wa kugombea kupitia chadema...

msipelekwe pelekwe na wana siasa... kwani wote ni wanafki... muacheni homie kanumba apumzike salama.. huko anapokwenda
 
Hapo kwenye RED kuna tetesi kuwa LULU alikuwa anaongea naye kabla ya......... mtayasikia
 
Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania
muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka

1. Juzi tarehe 7.04.2012 baada ya kifo cha kanumba wakati nasafiri nilisikia mtangazaji wa clouds
FM alikireport kutoka msibani sinza kwa kanumba eti anatoa number ya M-PESA ili watu wachangie
maandalizi ya msiba (hiki kilikuwa kitendo cha kipumbafu kwa clouds FM kujinufaisha na Msiba wa marehemu)

2. Sitoshangaa kuona hata media yeyote ikijishughulisha kuleta mikutano LIVE ya katiba mpya kama wanavyofanya
kwa kanumba( Huu ndo Unafika wa Media zetu zikijiendesha kwa bahasha kama NUKUU ya Pasco wa JF)

3. Leo Media Nyingi ziko busy na msiba wa kanumba na Kurusha LIVE lakini ikifika mambo yenye manufaa kwa TAIFA
wanatupia kisogo

RIP kanumba
RIP katiba mpya
mkuu, usilete hii hoja wakati huu maana watz wote akili bado imepumbazika na msiba wa Kanumba. Nafikiri Watanzania wakishatuliza akili labda wataweza kutafakari juu ya walio na mawazo kama yako.

Binafsi nilichojifunza na kuthibitisha kutokana na huu msiba na kujua vipaumbele vya Watanzania na sioni ajabu hata rais aliposema kuwa hajui ni kwa nini sisi ni masikini, ni kuwa attention yetu tulio wengi ipo kwenye mambo tuliyojionea hadi sasa.

Kabla ya huu msiba alikufa IGP wa zamani Aaron Mahundi, alafu akafuatia Profesa muhimu wa geology pale chuo kikuu Mlimani. Wanasema (hapa jf) kuwa JK ameahirisha safari yake ya nje kwa ajili ya huu msiba. Na mengine ndio hayo uliyoleta. Nasikia hata Bungeni walisimama kumkumbuka.

Kwa hiyo sisi kama taifa ni lazima tuwa na 'preferences' na kwa hili imeonyesha wazi ni wapi walipo wengi. Lakini tyukirudi nyuma juu ya chanzo pamoja na mazingira ya msiba wa Kanumba, ndio tujua tunarisisha nini vizazi vya sasa na vijavyo!

Wanachofanya baadhi ya media zetu ni biashara tu. Tunalishwa ujinga na baadhi yetu tunatafuna tu kama mazuzu. Wanataka kupanda kitu kwenye akili zetu kwamba Stephen Kanumba ni mtu muhimu mno kwa taifa (Juzi gazeti moja liliandika Taifa lasikitika...) Sometimes nakubaliana, ingawa kwa uchungu, na ule usemi kuwa tunapata tunachostahili. Napata uchungu zaidi nikifikiria kuwa media inaweza kutoa taswira ya jamii ilivyo...jamii yetu inamuona Kanumba ni muhimu sana nchini mpaka Rais akaahirisha safari ya nje ili kwenda kuhani msibani (nafahamu wametoa sahihisho leo).
 
ule uvumi ulioanza kusambaa juu ya ulaji wa pesa za michango ya rambirambi pamoja na zile za M-Pesa/Tigo Pesa mwishowe sio ajabu ukakuta hawa hawa walio 'promote' huu msiba watakuwa wanajua suala hili.

Na kuthibitisha hili ni pale media zinapoanza kuongelea sh. 2,000,000/- zilizokuwa ndani ya nyumba ili watua wasahau kuwa mjadala upo kwenye jinsi > +50,000,000/- zilivyotumika. Kweli tz ni bongolala

Back
Top Bottom