Unafanyaje?

Unam-treat kama sper donor.
Ni bora ex-sperm donor kuliko new sperm donor.

Umeona eh Ndahani! Yaani Soulmate wangu ananichuuza. Halafu Konyagi ikiisha kichwani, uex na chuki zake unarudi pale pale! Au ndo atasema si umeshapata ulichokuwa unahitaji!!
 
msimlaumu huyo mama,kama anajiweza kimaisha,why not?huyo mtoto akikua ata wish awe na kaka au dada.huyo jamaa yeye amesha move on,na yeye asubiri nini?she is nearly 40,ni mtu mzima,na anajua nini anafanya.siku hizi wa kumpata wa for better for worse ni ngumu.kila mtu ana cheat kwa upande wake.kumpata m.me wa 40 plus wengi wao ni waume za watu.yeye hana haja ya vigelegele vya ulisema haolewi mbona kaolewa,akikosa wa peke yake,bora a adopt
 
......Ni kweli Lizzy hata mie nilimwambia atulie but naona amekuwa ameaamua. Mwanaye huyo ana miaka sita anakwenda wa saba sasa na alitengana na mumewe wakati mwanaye huyo akiwa na umri wa miaka minne. She is nearly 40
Loh. .
Embu mwambie atulie na huyo aliyenae. Kuongeza mwingine kwa umri huo kwakweli sishauri.
 
pamoja na uwezo na yote mi namshauri adopt mtoto atayemlea kama mwanae maana kwa umri wake mh walakini!
msimlaumu huyo mama,kama anajiweza kimaisha,why not?huyo mtoto akikua ata wish awe na kaka au dada.huyo jamaa yeye amesha move on,na yeye asubiri nini?she is nearly 40,ni mtu mzima,na anajua nini anafanya.siku hizi wa kumpata wa for better for worse ni ngumu.kila mtu ana cheat kwa upande wake.kumpata m.me wa 40 plus wengi wao ni waume za watu.yeye hana haja ya vigelegele vya ulisema haolewi mbona kaolewa,akikosa wa peke yake,bora a adopt
 
Kipipi mdogo wangu, kua uyaone.
It's so hard kuwa na mtoto mmoja
utachukua any risk kama hata kuna 0.1 % ya kupata mtoto.

So many things, wazazi, mtoto mwenyewe, ndugu, nafsi yako mwenyewe.

Afu hakuna adui mbaya kama nafsi yako mwenyewe. Kama ulipanga maishani kupata watoto 3 afu circumstance zikakufanya upate mmoja, sio rahisi kabisa kulibeba.
Kongosho kusema ukweli hadi ninahisi wewe ndio huyu Sisy wangu eh......yaani yote aliyoniambia baada ya mie kiMJ kujitia ni kamama ushauri flani hivi. Mbona nilibaki mdogo kama piritoni! Na ndio maana nikasema mwanzoni sikumwelewa kabisa but baada ya kunipa risala yake nikajikuta najiwa na hilo swali nililouliza!.
 
Na kama my ex-hubby asingekuwepo au uwezo ni no more??? Nitakaa nianzekulia au kuimba haleluya?
 
Kongosho kusema ukweli hadi ninahisi wewe ndio huyu Sisy wangu eh......yaani yote aliyoniambia baada ya mie kiMJ kujitia ni kamama ushauri flani hivi. Mbona nilibaki mdogo kama piritoni! Na ndio maana nikasema mwanzoni sikumwelewa kabisa but baada ya kunipa risala yake nikajikuta najiwa na hilo swali nililouliza!.

MJ1,

kama keshaamua, wewe huwezi kubadilisha kitu chochote. Ila mwambie apime vizuri maamuzi yake na awe tayari kwa lolote litakalomkuta!

1. Huyo jamaa si mume wake tena kwani keshampoteza mwaka wa 3 sasa..Kutegemea kuzaa naye ni kuanzisha mzozo mkubwa kama ule wa Libya...Kama yuko tayari mwambie asonge mbele....

2. Umri wa kuzaa watoto umeshamwacha. Sasa hivi alitakiwa kulea na kusubiri wajukuu. Kama atataka kuwaiga wazungu wenye first class med care, basi aendelee mbele..Ila uwezekano wa kupata serious complications na hata kujifungua kwa kisu ni >50%

3. Ni vigumu kujua gharama ya uamuzi wake kwa sasa. Ila kwa maoni yangu, itakuwa kubwa kuliko kubaki alivyo sasa...Namshauri asome signature yangu na kuchukua hatua.

Namtakia kila la her,

Babu DC!!
 
Aksante dia. huyo mume anayeviziwa hapa alikuwa mume wake (au bado ni mumewe ingawa walitengana kwa miaka mitatu iliyopita). HAWANA MAWASILIANO KWA MUDA MREFU. Yaani si yule mume wa kuja kumsalimia mtoto wala nini, hawajapeana talaka. Sasa ninachojiuliza hapa ni anaanzaje kumtafuta na kumwelewesha? Mbu amenipa jibu

Hahh siwezituma maombi Soulmate? au nitume mzaramo kabisa?

...si mnaona bana...yaani mzaramu akikutoka kichwani kwanza unatoa msonyo mkali kisha unaanza mlaumu kwanini amekubaka,? kwanini hakutumia salama,? kwanini anakuvunjia adabu?.....yaani lawama, after lawama after lawama...kumbe wewe haja yako ilikuwa natural copulation tu.

Haaahaaa! Tutailamu konyagi na mikono yake kwa kuleta sokomoko ndani ya mji wa tu! Hii kali, duuh
 
Labda ni usingizi....
Kuna mtu anatafuta sperm donor sio? Umri unazuia.....ok...let her take the risks.....
 
Hivi challenges za kulelewa mtoto pekee zikoje? Maana nakumbuka zamani sie tulikuwa tukikutana na mtoto anayejisifia kwa kuletewa mdogo wake tulikuwa tukirudi nyumbani tunatishia hata kuvunja vibobo vyetu ili mama akanunue mtotot hospital!
 
Ninge-adopt mtoto mwingine nimtunze na kumlea kama huyo wa kwanza,nikijaliwa kupata mwenzi anayeeleweka wa kuzaa nae mtoto mwingine tulee wote kwa pamoja,sawa tu....hakuna kitu kibaya kama pressure ya umri,inatesa sana wadada...shukuru kwa huyo uliyenaye na mpe Mungu utukufu kwa uamuzi utakaoufanya...!!
 
1. Mzazi mwenzio ni mzazi mwenzio tu,si vibaya kumshirikisha katika mambo yako.
2. Watu wengine wanakosea sana,mzazi mwenzie anamuona kama adui. Je . ya arusi ya mtoto wenu hamtakaa meza moja?
3. Maugomvi yenu yeye hayajui na hayamhusu.
4. Kama mmetenga kwa muda wa kutosha basi permanent separation yaweza kuwa sababu nzuri ya kuomba talaka.
5. Kwa vyovyote hao bado ni mume na mke kihalali,mke akizaa nje anatenda kosa. Usimshangae mdada anaona mbali.
 
MJ1 Dear.... ndio nishaanza kukuchunguza hivo...lol... Will be back....:eyebrows:

Hahahahaha Da Mkubwa, do you need to take that trouble? Just ask sweetie and you will be granted.
By the way ukiipitia hii thread utapata jibu da Mkubwa. Naenziwa mie, napendwa mie, nathaminiwa mie na kwa hilo namshukuru Mwenyezi MUNGU na kumwomba anipe moyo wa shukrani nami nimuenzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom