Unafanyaje ukifumania?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Hii ni real story:

Una ka small house, unakagharimia kila kitu kodi, chakula, umeme, maji mpaka usalama umemwekea Knight Support na biashara nzuri tu umemfungulia na gari juu(Harrier).

Huyo bi mdogo anakutambulisha kwa kivulana kwamba ni cousin wake, kila kukicha yuko naye kwenye gari (dogo dereva) na mtoto anadai hicho kivulana kinamsaidia shughuli zake za biashara (ambayo umemfungulia wewe na unai support). Dubai, Guanzou, Hongkong anasafiri nako eti kanamsaidia shopping huko.

Tufupishe story. Siku ya siku kwa kuwa una ufunguo wa small house unakuja bila kutarajiwa (si kwako bwana?) unafungua mlango wa mbele, kuingia ndani unasikia funny sounds, kufungua mlango wa bedroom(ambao kwa kujiamini wameacha wazi) unakuta dogo kaning'inia juu ya mamie na kibaya zaidi bi mdogo anatoa kilio ambacho katu hujawahi kukisikia pamoja na 'ujuzi' wako.

Mdau unafanyeje? Kumbuka wewe katika jamii unaitwa 'baba wa heshima' mwenye familia imara na kanisani wewe ni 'mzee wa kanisa'( kanisani una kiti maalum front bench).
 
Lol! Nyumba ndogo always zina vijumba vidogo pia, hawi wako peke yako. Inategemea anampenda kiasi kipi, angeweza kumwacha tuu aendelee na kakijana kake, kama bado anataka kuchomolewa basi baadae aongee naye amsikie bibie atasemaje
 
Lol! Nyumba ndogo always zina vijumba vidogo pia, hawi wako peke yako. Inategemea anampenda kiasi kipi, angeweza kumwacha tuu aendelee na kakijana kake, kama bado anataka kuchomolewa basi baadae aongee naye amsikie bibie atasemaje
Violet,katika purukushani kidogo iliyotokea babu anasema dogo alikuwa peku peku! (actually mzee alipigwa kata funua akabaki chali hoi)
 
sasa hayo ndo malipo ya kuliwazwa,inawezekana big house inakusimanga coz of ufataki wako.Tulia uone kama utasimangwa

Yes.Unavuna uliyoyapanda,na yale umtendeayo mwenzio ndo na wewe yanakukuta.
Tena shukuru malipo unayapata kwa hiyo nyumba ndogo na huyo bibie wa nyumba kubwa bado anakuheshimu hajakutenda kama wewe unavofanya.
 
HM ndoa ya mzee ni ya kikristu,ujanja huo hawezi kufanya.
 
Lazima uelewe kwamba hii nyumba ndogo na yenyewe inataka baadae iwe nyumba kubwa so mwache dogo aendelee kukandamiza na kama vp kubali we ndo uwe mwizi.Ukifanya hvyo wala hautaona au kusikia pressure ina panda au kushuka!
 
Kila kitu kibaya malipo yake huwa ni hivyo hivyo suppose hizo pesa ungewasaidia watoto wako na familia yako badala ya hiyo hema. Lakini unaweza kuta hata watoto wake wa kuzaa wanaishi maisha magumu pesa inaishia kwa bi mdogo. What goes around comes around.
 
Huku kwetu kila nyumba yoyote kubwa kwa kawaida inakuwa na nyumba ndogo pembeni ambayo ni CHOO kama unajua una nyumba ndogo elewa hiyo ni choo harufu na hadha yake yakubidi kuivumilia, Mwenye sikio na asikie
 
Hii ni real story:...Kumbuka wewe katika jamii unaitwa 'baba wa heshima' mwenye familia imara na kanisani wewe ni 'mzee wa kanisa'( kanisani una kiti maalum front bench).

Mzee wa kanisa, una familia, mzee wa heshma halafu nyumba ndogo?!!- ngoja ntarudi baadae kidogo.

...ndio maana UKIMWI huwachukua kwa wingi wanafiki kama hawa.
 
what goes around comes around

Binafsi siamini msemo wa "what goes around comes around"! Huu msemo unanikumbusha falsafa ya Karl Marx na religion. Misemo mingine imetungwa kuwaogopesha watu tu.

Binafsi naamini nyumba ndogo (both za kiume na za kike) zinasaidia sana katika ku manage na kupunguza stress and depression. Bila nyumba ndogo wanaume kwa wanawake tungekuwa tunakufa au kuparalyze kila leo mamia kwa maelfu kutokana na kero za ndoa. Na kwa wenzangu wakristo mke mmoja mpaka kifo kiwatenganishe, ndo balaa!! Kina mama vitulizo vyao wanaume wa nje na sie kina baba vitulizo vyetu mabibi wa nje.

Tusidanganyane wadau, ni muda, style na mazingira tu ndo yanatofautiana, lakini mchezo ni ule ule. (rejea Marxist theories)

Kuhusu cost incurred kwenye hizo nyumba ndogo, mi naona ni justifiable given madhala na mudhi ya nyumba kubwa!! Besides starehe gharama ndugu zangu!!!
 
Hapo Bishanga huyo dogo hana kosa kabisaaaaaaa mwenye kosa hapo ni huyo small house kwa kutokuwa mwaminifu hapo hapo ningekuwa mimi hapo namruhusu huyo dogo avae aondoke salama kisha na deal na huyu small house naita fusso naita dereva napakia kila kilicho changu namwacha simpigi wala sifanyi nini kisha nasepa namwacha kwa amani lakini vyangu vyote nachukua na duka kule nafunga nazoa vyangu vyote basi biashara inakwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom