unafanya nini saiv?

kiukweli ni majukumu, ndo maana baadhi ya huduma hupunguzwa, imagine unakuwa wa kwanza kuamka kuhakikisha watoto na mume wamekunywa chai, wana nguo sahihi za kuvaa, wanaobaki watakuka nini asbh, mchana, jioni mtakula nini, bado hujaangalia kuku, hujakusanya biashara, then uende kazini, jioni upitie biashara, urudi nyumbani upike, umuandalie mume na watoto msosi, usimamie mambo ya hapa na pale, umpe hubby haki yake, bado umnyoe.... Loh......


Acha nikaicheki hiyo thread....

Angalia sasa !
Namna hapa ulivyofunguka kiutu'uzima!
Uko timamu kuzidi maelezo !
Umenimwagiaje mipweenti !
Semea tu sijui sometyms ChtCht hua inakuzuru! Sijui nikushawishi uhamie Siasa!
 
Saiv nipo 20 th century plaza mama ngina street na sip cha baridi muda si mrefu nita watch movie Madagascar 3/Movie imesifiwa sana guess ni kitu safi.

on ma wei to kigambonino,huko huko ntajua niibukie kiwanja gani. . .
 
Angalia sasa !
Namna hapa ulivyofunguka kiutu'uzima!
Uko timamu kuzidi maelezo !
Umenimwagiaje mipweenti !
Semea tu sijui sometyms ChtCht hua inakuzuru! Sijui nikushawishi uhamie Siasa!

kule siasa nitakufa kwa presha..... Hakufai...
 
namcheki tu anavyojishebedua hapa, anataka tumwashie moto huyu..... Asitukimbie tu

shostito hivi hujamgundua? Erickb52 akitutaja mm na ww lazma aweke na jina la

wife wake ili kupotezea. ww toka tulimpa mavituz jamaa anashindwa kusahau hadi

leo kazi kututaja taja. atajibeba am telling u, na sie tusimpe tena mamito.
 
Last edited by a moderator:
Nipo hapa nahangaika kukorokochoa sehemu iliyonileta duniani..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom