unafanya nini saiv?

Madame B umenipa raha leo eti au unamuogopa ...ila kuna wababa wengine bandidu hata alieje halikusaidii tena anasema ebu mnyamazishe huyo mtoto mimi najaribu kulala hapa

yani ungekuwa karibu ningekupa 5, ila chukua ya mbali, kama vile ulikuwepo, ananiambia me nimechoka, na mtoto anavyolia mpaka nami nikaanza kulia, yani wababa wengine cjui wakoje, ila nimeshamzoea.
 
yani ungekuwa karibu ningekupa 5, ila chukua ya mbali, kama vile ulikuwepo, ananiambia me nimechoka, na mtoto anavyolia mpaka nami nikaanza kulia, yani wababa wengine cjui wakoje, ila nimeshamzoea.
Pole sana Kijino
Mpeleke Hospitali haraka au ushampeleka?
 
Last edited by a moderator:
nipo zangu Bar hapa nakunywa SAFARI yangu baridi nipo na Galaxy yangu naperuzi na kudadisi JF
 
yani ungekuwa karibu ningekupa 5, ila chukua ya mbali, kama vile ulikuwepo, ananiambia me nimechoka, na mtoto anavyolia mpaka nami nikaanza kulia, yani wababa wengine cjui wakoje, ila nimeshamzoea.

Thubutu yako,
Ulijua kwa Mume unaenda Kucheki Isdingo?
Ukikubali kuolewa,basi usilale na ....!!!
Na saa 8 anataka Msosi,patamu hapo.
 
Ukiweka nia Judgement,
HakyaMtume tena Unamchezea tu.
Potelea Mbali,ntakufa Kishujaa.

Labda awe Simba Babaake Iddi aliyekua Mbunge wa Ilala!
Au Simba Babaake Waziri Sofia ! Ndo unaweza wachezea!
Au Simba zee la porini.
Bt Simba shababi itakua alfu lela ulela !
 
Last edited by a moderator:
Saiv nipo 20 th century plaza mama ngina street na sip cha baridi muda si mrefu nita watch movie Madagascar 3/Movie imesifiwa sana guess ni kitu safi.
 
haya wanaCC ndo naupara mwenzenu,hebu nichaguilien leo niibukie wapi!
 
Labda awe Simba Babaake Iddi aliyekua Mbunge wa Ilala!
Au Simba Babaake Waziri Sofia ! Ndo unaweza wachezea!
Au Simba zee la porini.
Bt Simba shababi itakua alfu lela ulela !

Tajua hapohapo Mkuu.
Me najua Teknik ya Kucheza na Wanyama.
 
Tatizo lenu mkishaizoea ofisi perfomance hushuka always! Nae ndiyo keshaizoea!
Mpaka pakisikika fununu kuna kidumu kinaelekea ku'attack Ikulu yake ndo perfomance huiushwa.
Afu kule kwenye uzi wa Pakajimy "usafiri kafiri" kuna swali langu umelikwepa!
Nenda ukajibu acha janjajanja.

kiukweli ni majukumu, ndo maana baadhi ya huduma hupunguzwa, imagine unakuwa wa kwanza kuamka kuhakikisha watoto na mume wamekunywa chai, wana nguo sahihi za kuvaa, wanaobaki watakuka nini asbh, mchana, jioni mtakula nini, bado hujaangalia kuku, hujakusanya biashara, then uende kazini, jioni upitie biashara, urudi nyumbani upike, umuandalie mume na watoto msosi, usimamie mambo ya hapa na pale, umpe hubby haki yake, bado umnyoe.... Loh......

Acha nikaicheki hiyo thread....
 
Back
Top Bottom