Unaelewa nini hapa?

Huyu jamaa naona kama kaweka maneno mazito. Chukua herufi za kwanza kwa kila neno kuanzia neno lamwisho kurudi la kwanza....

duuuhhhh asante sana muheshimiwa..
kwakweli najiona mjinga kwa kutogundua hilo..
 
duuuhhhh asante sana muheshimiwa..
kwakweli najiona mjinga kwa kutogundua hilo..

Mambo kama haya sana hu-target wanawake. Nakumbuka msemo wenye maudhui kama haya, "Kafa Ulaya Mazishi Afrika." Sijui inakuwaje.....!!
 
Mambo kama haya sana hu-target wanawake. Nakumbuka msemo wenye maudhui kama haya, "Kafa Ulaya Mazishi Afrika." Sijui inakuwaje.....!!

duuuuhhh kwakweli
kwa hiyo mtu anaweza kukutukana hata usielewe...
duuuhh kuna hatari...
 
duuuuhhh kwakweli
kwa hiyo mtu anaweza kukutukana hata usielewe...
duuuhh kuna hatari...

Unaweza ukatukanwa usijue, kuna watu huwasilianna kwa ciphers kama ilivyokuwa kwenye series za prison break.... kazi kwenu!!!!!!
 
LOL! naogopa hata kuku PM jibu mkuu.... invisible akilala ntakupa jibu:bump:
 
Mtunzi wa swali kwa mtindo huu uhenda ikawa vigumu kupata jibu halikadhalika watu kutaka kufahamu ulimaanisha nini? Kama zawadi ni issue basi jipe mwenyewe kwa kazi nzuri.
 
Mtunzi wa swali kwa mtindo huu uhenda ikawa vigumu kupata jibu halikadhalika watu kutaka kufahamu ulimaanisha nini? Kama zawadi ni issue basi jipe mwenyewe kwa kazi nzuri.

Wengi naona wamejitahidi kutoa jibu lakini sio jibu sahihi,jibu sahihi ni kuwa kuna kiungo kimoja katika mwili wa binadamu ambacho ni muhimu katika uwepo wa kiumbe mwanadamu hapa duniani ambacho kisipotumika kwa heshima na uangalifu kwa kufuata mafundisho ya dini na ya mababu zetu basi hayo yote niliyoyataja hapo juu yanaweza kumkuta kiumbe mwanadamu awe wa kiume au wa kike.Hivyo basi inafaa kiungo hicho kipewe heshima yake ili mwanadamu aendelee kuwepo hapa duniani.
 
Oh!nashukuru kwa fumbo zuri!

Karibu sana mkuu maana wengi wa waliojibu wamekimbilia kutaja kiungo chenyewe bila ya kutafakari uhusiano wa kiungo hicho na maneno hayo hapo juu sasa kazi kwa kila asomaye,mwenye kuelewa na aelewe na mwenye kuona vinginevyo napo ni sawa maana kama hatutakuwa makini katika zama hizi basi tujue wazi hayo mambo yanatunyemelea.Tukiheshimu kiungo hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom