unadhani nini kinaendelea hapa?

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
je, ni babu yake anampa baraka mjukuu anaetaka kurudi town

je, babu anapiga saundi....

au?


207982_434559253263714_1541082351_n.jpg
 
anamkata sound huyo babu huyo. sioni sababu nyingine ya kumfanya amshike mikono hivyo
 
Hapa ndo naona kuwa kumbe huwa tunazeeka miili lakini hisia zinabaki palepale!
 
Babu kashauza mazao yake anachukua toto ya kukonga nyoyo,hapo harudi hata na shilingi na ataswaga mguu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom