Unadhani hii itasaidia ?

wambeke

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
2,655
2,645
Salaam Wanajamvi
Nisiwachoshe saana leo Ijumaa yangu mapeema home sababu najua mwenyewe.

kutokana na matatizo mengi kwenye ndoa kuachwa kuachika, wahusika na familia kusamabaratika

Ndoa nyingi siku hizi haziko sawa! Ni kutokana na wahusika na familia mara nyingi kutopinga hizo Ndoa.

Hamuoni ingesaidia kama jamii ingehusishwa kukubali au kupinga ndoa? Mfano kijana akitaka kuoa binti kijiji chake /mtaani kwake wipige kura ya maoni kama anafaa au hafai kuoa? Na kijiji/mtaa wa binti nacho kipige kura ya maoni kama anafaa kuolewa? Matokeo yatangawe pande zote za muungano? Halafu sasa iwe hiari wao na familia kuendelea au kukata?

Naskia Hii upareni ilikuwepo zamani. Bro Mshana unaweza kuthibitisha hilo la Upareni?
 
Back
Top Bottom