Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

Mr-Africa

Member
Sep 25, 2012
23
3
ndiye msanii kipenzi cha wana africa masharik kwa sasa,kwa ubunifu,juhud na kujituma,amekua ndiye mwanamuzic ghari zaid tz(ni ten millions kwa show na mapromota deile wanampapatikia,kwa wiki cyo chin ya shows tatu mpaka nne)ndiye mwanamuzic anayepiga show zisizochosha(ana tuzo ya mtumbuizaji bora)on youtube video zake ndiyo zinatizamwa zaid kuliko mwanamuzic yeyote tz(video yake ya mbagala ishatizamwa na viewers zaidi ya laki 8,moyo wangu viewers zaid ya laki 5 .,kama hamjui,tayali amefanya collabo na J martins na mchakato wa video unaendelea kwa kutafuta ma-model(itarecodiwa tz na abroad) then atafanya collabo na p-square
na aliye nyuma ya mafanikio haya(aliye muunganisha na Psquare,Jmartins)ni meneja wake Ruge mutahaba
kwa haya.
na kwa uchache,ndani ya mda mfupi wa kua kwenye gemu tayari anamiriki gari la milion 60,anamiriki nyumba tatu,na tayari yupo kwe mchakato wa kujenga hotel yenye hadhi ya 4stars...sina budi kukupongeza na nina imani baada ya mda mfupi,atakua ni moja ya wanamuzic wakubwa barani africa
na wanaomtabiria atakua kama Mr nice,wanakosea sana
GO DIAMOND..WEWE NDIYE AINA YA WANAMUZIC TUNAOWAHITAJ
 
Diamond ni mwanamziki fulani hivi wa Tanzania ambaye alichukua tuzo. Anajua kulimiliki sana jukwaa awapo anaimba. Alishatoka na Wema.

Hivi wewe ni nani vile?

Hata mimi simfahamu.......Wema ndio nani?
 
Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam.
Kipaji zaidi cha Wema kiligundulika katika sanaa ya filamu, ambapo alifanikiwa kucheza vema kabisa katika filamu ya A Point of No Return akishirikiana na mchezaji filamu maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba.
Amekuwa na mahusiano na watu maarufu wengi wa Tanzania wakiwemo Mr.Blue,Charlz Baba,Steven Kanumba ,james fredrick na wengine wengi,ingawa kwa muda huu yupo na msanii maarufu wa Bongo fleva Tanzania aitwaye Diamond. Pia Wema amekuwa akijulikana kwa kuwa na sauti ndogo ndogo. Kwa sasa Wema amevishwa pete ya uchumba ya Diamond.Pamoja na yote hayo,binti huyu amelelewa na kuishi kama mtu wa Magharibi(Ulaya)

Source:
Wema Sepetu - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Naona hii hawajai update lakini unaweza kupata picha kidogo
 
Bado sijamjua_ingawa hata hiyo historia yake anaonekana ni kicheche.

Anyway_hata mtoto wangu amesoma'Academic International'....basi wame_share shule.
 
Unamfahamu Mzee Yusuph yule wa Taarab ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
duh kumbe meneja wake ni RUGE?Asante kwa kunifuta tongotongo

baada ya kumtaja ruge kama meneja,mwili wangu umesinyaa,,,,LABDA DIAMOND NDO ATAKUA MSANII WA KWANZA KUFANIKIWA CHINI YA RUGE,ILA RUGE TUNAMJUA ANA TABIA YA KUWATUMIA WASANII KAMA KONDOM
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom