Unabisha...??

Ndio nabisha kwamba upweke unaweza kuua ila sibishi kwamba unaweza ukakuu wewe.
Huna marafiki wakupe kampani??Huna hobbies zikuweke busy??Huna usingizi ulale???
 
Ndio nabisha kwamba upweke unaweza kuua ila sibishi kwamba unaweza ukakuu wewe.
Huna marafiki wakupe kampani??Huna hobbies zikuweke busy??Huna usingizi ulale???

kweli jana vyote hvyo kwa ucku wa jana sikuwa navyo! Kidogo nikufe yani
 
ungenibip tusaidiane nadhani mi nilikuwa mpweke zaidi ila ile thread ya maswali na majibu ilinisaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom