Unaangalia vigezo gani unapoamua kuchagua mpenz

lizzy nimekujibu swali lako..
jje wewe vipi?
una wowowo la kutosha?????
Wowowo..mguu wa bia..macho ya kurembua..lips full kama kiroba cha mchele..kiuno cha haja..kifua cha kutosha..shingo kama ya mbuni!Ehh nini kingine unataka?
 
kwa maisha yalivyokuwa magumuu kigezo kwa kwanza unaagalia,,
elimu,,elimu ndio key ya maisha,,
yanayo fuata...

Uzuri wake,
culture,desturi mila,,kama inaendana na wewe,,au umependezewa,,
respect,,,
appearence yake kwa muono,,,
maongezii
kucheka,,
smilling,,
guu guu
bata, tena orginal sio wa mchina
maziwa,
mdomo,
sura,kipua,nywele za kuchezea tena zake mwenyewe sio wigii,
asiwe na tumbo,akicheka acheke kwa poz,sio sauti inapaa kama msanii,,,
akivaa awe anapendeza,awe anajua kuvaa,,,
rangi usichaguee,,
lakini kitu muhimu jee mumekutana mazingira gani ? Wengine kama lodi lofa atakuchomoa pochi tu sifa nilizokupa
teh teh teh teh

umetishaaa
 
Mimi wa kwangu nilimpenda sababu ya RUGBY na yeye anajua:lol::lol: ( Ngoja aone hii comment :fear::fear:)
 
Mh kwa mtazamo huu bado niko kwenye chati lol! mie naangalia urefu, personality, mguu size yake , bashasha zake, mcheshi , uhandsome ni wa mwisho akiwa nao poa,asiwe nao sawa tu
 
duh mi naangalia sana usafi, demu bwana awe msafi mi hapo ameniua kabisa, rangi iwe ya andazi, afu kiuno kiwe kama cha nyigu, urefu wastani asiwe kama twiga maana nitapta shida shingo yangu itauma. Na mwisho awe na sauti nyororo sio demu anakuwa na sauti kama subwoufer. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom