Unaambiwa; "sikukusaliti, wala sikumpenda, bali nilizidiwa......"

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Umekuwa mbali na mpenzio/mkeo/mmeo kwa takriban miezi sita au zaidi...! Japo mawasiliano yalikuwepo na mipango yenu ilikuwa wazi kwa kila mmoja... ! Wiki moja baada ya kukutana tena mwenzako anakueleza kuwa huko alipokuwa alipata ku-do na watu wawili tofauti na kwa nyakati tofauti, lakini akasisitiza maneno yafuatayo; "sikukusaliti, wala sikuwapenda, bali nilizidiwa". Je, ungereact vipi?
 
Daaahhh mi ningecheka kwa kweli..
nakujiondokea taratibu nende nakawaze ye
Akiwa mbali na mimi..
 
Kuna mtu alisemaga hapa kuwa "there is absolutely no justification ya ku cheat"
 
hujatwambia jinsia ya huyo aliyecheat lakini nahisi ni he

mimi ningeunderstand na kushukuru kimoyomoyo kwa ujasiri wake wa kuwa mkweli
nisingenuna coz kununa kutamfanya siku akirudia asiniambie
 
sasa akirudia akwambie ili iweje?
am just thinking the end product of that iformation willl it be useful at alll?????
any way its just state of mind but i dont think if wil need to know either my partner cheat or whatever.
 
duh, ngemwambia asante kwa breaking news yako, na taratiiiiiibu kujiondokea zangu....
 
duuuh!!mi nisingetaka kujua ukweli
ukweli unauma na nisingesahau duuh
mambo mengine mitihani tu
 
hahahah jamani kuna watu wana vituko,
Na mie ningemjibu hivo hivo kama alivosema yeye nione ata-react vip
 
Ningemshukuru kusema ukweli, ila kusema kazidiwa na kufanya na watu wawili tofauti hapo mhhhhhhhhh ndo pangenichefua sasa

Mimi kwa mmoja ningefunga moyo nimsamehe japo inaumaaaaaa
 
unapomweleza umecheat ni ili iweje
kwamba naye afanye kama ulivyofanya wewe.
Ulipenda ndio maana ukafanya hakuna cha kuzidiwa
hivi unawezaje kudo na mtu humpendi kabisa
 
Mie ningeliaaaa angenibembeleza then nikinyamaza tu namwambia sorry honey na mimi nimetembea na rafiki yako fulani, tulizidiwa tu haikumaanisha kitu! hapo sasa ndio utajua kwamba kwake yeye ni halali kwako ni haramu
 
BW,

Kuna kitabu nilisoma i cant remember its title nikikukmbuka nitakujuza
it says that men and women perceive love and sex differently, meaning that
mwanaume anaweza asiwe amempenda yule atakaye have nae sex biashara pale inakuwa ni sex tu but anampend amtu mwingine
ila mwanamke kwake love and sex vinaenda sambamba (ukitoa wafanyabiashara of course)..
so its possible alido na hao na hawapendi.

Men correct me if am wrong
 
Mie ningeliaaaa angenibembeleza then nikinyamaza tu namwambia sorry honey na mimi nimetembea na rafiki yako fulani, tulizidiwa tu haikumaanisha kitu! hapo sasa ndio utajua kwamba kwake yeye ni halali kwako ni haramu

Hahahahahahaha Gaga mbavu zangu bana kha!
 
Ucjali dear, hata mie pia nimefanya hivyo ila nimekuzidi mmoja tena jana tu uliponijuza u njiani ndio tulikuwa tunaagana
 
duh, ngemwambia asante kwa breaking news yako, na taratiiiiiibu kujiondokea zangu....

Daahh
labda niseme
Usijali mpenzi
ulichofanya na mi hivyo hivyo....

hahahah jamani kuna watu wana vituko,
Na mie ningemjibu hivo hivo kama alivosema yeye nione ata-react vip

Ningemshukuru kusema ukweli, ila kusema kazidiwa na kufanya na watu wawili tofauti hapo mhhhhhhhhh ndo pangenichefua sasa

Mimi kwa mmoja ningefunga moyo nimsamehe japo inaumaaaaaa

Mie ningeliaaaa angenibembeleza then nikinyamaza tu namwambia sorry honey na mimi nimetembea na rafiki yako fulani, tulizidiwa tu haikumaanisha kitu! hapo sasa ndio utajua kwamba kwake yeye ni halali kwako ni haramu

Ucjali dear, hata mie pia nimefanya hivyo ila nimekuzidi mmoja tena jana tu uliponijuza u njiani ndio tulikuwa tunaagana
Duh.....! Kumbe ndio hivi? Basi sisemi ng'o.....! Bora nibaki na siri yangu moyoni..!
 
Mimi nina mawazo kama yako

hujatwambia jinsia ya huyo aliyecheat lakini nahisi ni he

mimi ningeunderstand na kushukuru kimoyomoyo kwa ujasiri wake wa kuwa mkweli
nisingenuna coz kununa kutamfanya siku akirudia asiniambie
 
Akifanya na mmoja miezi yote sita ukiwa haupo jua kabisa hapo katia kambi. Kubadili partner ni kukwepa commitment kwa kuwa yuko tayari commited to you!

Back
Top Bottom