una tatizo la ndoa?ndoa yako inalega lega!!onana na mshauri wa ndoa!!

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
2
Onana na mshauri wa ndoa zinazolega lega
mtaalam hashimu/kim
tel:0712 30 87 11 ama 0712 97 57 98

usikubali kuvunja ndoa yako..uwezo unao kuiponya ndoa yako wahi sasa kabla aijasambaratika
 
Kuna Doctor yoyote wa Muchs huku JF? nahisi kutakuwa na mgonjwa ametoroka kule kwenye ile ward ya wakina naniiiiiiiiiiiiiiiii...Mod upo kweli?
 
Jamani nimeona sehemu ya wakubwa tunaingiaje!!!uko
tunaitaji kuokoa ndoa mbichi/chakavu/na zile zinazomaliza
hamu ya kuishi wawili wawili...
 
Jamani nimeona sehemu ya wakubwa tunaingiaje!!!uko
tunaitaji kuokoa ndoa mbichi/chakavu/na zile zinazomaliza
hamu ya kuishi wawili wawili...
mzee unamaliza mbavu zangu hapa,karibu bana,kesho utafaidi,ngoja watu wamalize w-end
 
Senator usiwe na wasi wasi nahisi unaogopa mambo ya malipo ndio maana umeshtuka ....malipo yako kwangu ni pale utakapokuja kunishukuru ndoa yako imesimama ama
mkeo alie kukimbia amerudi/ama umejirekebisha kwenye ile shuguli yetu unaona faraja kwenye ndoa yako........

Unajua hata ukimuuliza mtu kwa nini unalalamikia ukutumia cndm atakwambi niliona aibu kuulizia kwenye maduka,..aibu yako itakumaliza .....mnaitajika kuwa wawili wawili
senator

malipo ni wewe utakapo ifurahia ndoa yako

usiogope ukaumiza ndoa yako kama umektaa tamaa waache wenzio waziponye hny zao
 
kuna mganga/mnajimu kaingia humu rasmi..........................

shida yetu watanzania hatuwapi nafasi wenzetu watusaidie matatizo tuliyonayo badala yake tunawapuuza kisha tunakimbilia short term resorts like pombe,madawa au kuwa na relations nyingine out of marriage. kama ndoa yako ipo stable hongera kwako lakini najua zipo za watu wengi tu around you zinazohitaji misaada,let us help each other

pia watu kama hawa wakipata na matatizo kwa kuwa wanajificha ndo wanaokimbilia kujinyonga kutokana na frustrations lakini laiti ungeishirikisha jamii ungerudi kwenye furaha
 
shida yetu watanzania hatuwapi nafasi wenzetu watusaidie matatizo tuliyonayo badala yake tunawapuuza kisha tunakimbilia short term resorts like pombe,madawa au kuwa na relations nyingine out of marriage. Kama ndoa yako ipo stable hongera kwako lakini najua zipo za watu wengi tu around you zinazohitaji misaada,let us help each other

pia watu kama hawa wakipata na matatizo kwa kuwa wanajificha ndo wanaokimbilia kujinyonga kutokana na frustrations lakini laiti ungeishirikisha jamii ungerudi kwenye furaha

ni kweli matambo wengine wana mizaaha lakini awajui machungu ya ndoa..awajui mateso wanayopata watu ndani nyumba zao..kama si zile kuta 4 akika mungu angeshuka kama kila nyumba ingekuwa wazi kuonyesha vinavyotendeka ndani..baya zaidi tatizo hili aliangalii walio kwenye gorofa zao masaki mikocheni,..osterbay nk...wote wote wanaonja ladha moja!!nina uncle wa rafiki yangu wako na gorofa 3 ya kwanza anaishi yeye ya pili anaishi wanae wawili wa kiume ya tatu anaishi mkewe na nje ziko gari 4 wamegawana 2 za mzee mbili za mama...hili nimeanza kuliweka kwenye maombi mungu aninyeshe jinsi ya kuanza nao...jamani watu wanateseka nasema nimeona mateso ya ndoa..usione watu wako akudo wanacheza pamoja wakitoka pale anajua mungu tu!!!!

Njoo okoa ndoa yako kabla ya kuja mwamini mungu mawazo utakayopewa yatakuwa msaada kwako

free of charge
 
Onana na mshauri wa ndoa zinazolega lega
mtaalam hashimu/kim
tel:0712 30 87 11 ama 0712 97 57 98

usikubali kuvunja ndoa yako..uwezo unao kuiponya ndoa yako wahi sasa kabla aijasambaratika

msidanganyike.......... kama una tatizo la ndoa mPM mgombea ubunge tu, ni mtaalam wa ndoa mwisho............ hebu someni kazi zake na matokeo yake jinsi alivyokarabati ndoa za watu.......... achaneni na watu wanaonadi biashara zao............
 
Pole najua ujasoma vizuri ama umepoteza ile miwani yako

kuna biashara ya bure kwenye familia yenu ama wewe na elimu yako kuna bussiness free of charge!!!!siko kibiashara .....siitaji pesa nilizonazo zinanitosha na njukulu watakaozaliwa mwakani...,.,swala hawa njukuli......,watazaliwaje kwenye familia zilizo na baba peke yake ama mama peke yake ndio tatizo letu kuna anaetangaz abiashara....ukija kwanza tunamwomba mungu kwanza ujue atuko kibizinezi
 
acha kuchekesha watu........... biashara ngapi zinakuja na matangazo kuwa ni free......... kasome majuzi hapa kuna mtu kasema atasaidia kutengeneza website free..... kumbe anachaji 150,000 minimum !!!!!!!!

tena wewe umejikita kwenye ndoa tu............. unaangalia a fast moving item.......... hahah..... biashara zingine bwana..................
 
njoo nikutengeneze ndoa yako achana na kukimilia kwakina dk manyuki awakusaidii...tatizo lako tena ni dogo kweli waala aliiitaji kwenda kwa DK MANYUKI...wewe tu kutoa stress yako ya maisha u relax,...inakuwa norma n well function
 
watakupa dawa zisizo na vipimo halisi huku unapewa NENO LA mungu KWANZA UNABAKIZA IMANI YAKO KUSIKILIZA NA KUTENDA UNAENDA ZAKO!@@
EASY...COME N TAKE NT QUICK N PAY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom