Una tafsiri vipi hii hali??????

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
IPE NENO...jpg

ukitoa ofa angalia na maeneo unaweza pata vidonda vya tumbo .. Jamaa sijuwi anafiri nini hapo nisaidieni..
 
Kwanza huyu ni kobe, hajafunga. Huku kwetu tunawatandka wote.
 
bro kamtoa out bbie kumbe mfuko hautoshi akajidai aaah dia m mbona nimeshiba kula tu wwe kumbe ana njaa nae
 
Back
Top Bottom