Una miaka 37-45?

bado tu hujapata?

are u sure na wewe hujadanganya sifa zako hapa?
 
Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi ni mwenye siha njema,nafanya kazi hapa dar,ni mkristo niko na 30 yrs,
kama wewe mwanaume unaizo sifa chache unakaribishwa.
Najua wengi mtananga kama ilivyo ada,yeyote atakaye PM atajibiwa.Tafadhali kama huna nia usijaribu.
Dorcas let us chat I don't how can we exchange info. Thank you!
 
Dah, bahati ilioje..nashukuru hujawa mbaguzi sana wala mdini,mi nimeoa, nina wake wa 3 (Dini yangu inaruhusu)..vp, upo poa kuwa mke wa 4??!!
 
Dah! Mie nina sifa zote kasoro hapo kwenye kilolo ndio shughuli-siwezi acha, vp utanivumilia? Ntakua napiga mitungi yangu home siendi bar, alafu mie nikiwa chakali wala sio msumbufu, nalala tu dear, please nikubalie basi alafu nikuPM!
 
Nimefurahi jinsi Dorcas alivyojieleza. ni tofauti kabisa na wale wehu waliofungwa na imani za dini za ajabu wakijifanya bora kuliko wengine hadi kubagua makabila!
Namtakia kila la heri huyu Dorc, lazima ni m dada mwenye busara. hiyo ya kuwatenga wafupi nadhani alipitiwa tu arekebishe post yake.
si wa dada wengi wako radhi kulea watoto wa kambo
 
You seem like a true lady..., kwa yote niliyoyaona mpaka sasa you will make someone very lucky..., all the best
 
Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi ni mwenye siha njema,nafanya kazi hapa dar,ni mkristo niko na 30 yrs,
kama wewe mwanaume unaizo sifa chache unakaribishwa.
Najua wengi mtananga kama ilivyo ada,yeyote atakaye PM atajibiwa.Tafadhali kama huna nia usijaribu.

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:


  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:


  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom