Una gari?

Nina wasiwasi na charge za mwezi,kwa sababu system iki-trigger na ikatuma sms ujue kwenye hiyo modem lazima kiwe na hela labda uchukue post paid line uwe unalipa kwa mwezi kwenye kampuni ya cm,sms zinazotumwa kwenda kwa wateja lazima uzilipie au labda ufanye configuration anayetumiwa ndo akatwe hela hapo nitakukubalia ozawiz changa la macho kwamba ukitoa Usd280 ndo basi.

malipo sio lazima kwa post paid, unaweza tumia huduma ya kutuma hela kwenye hiyo namba ,kama tigo rusha , na kiwango ni chochote kile na unaweza dhibiti matumizi yako. Hauta hitaji kulipa kwetu hela nyingine yoyote ile
 
Back
Top Bottom