masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Kama wewe ni daktari nitashangaa hiyo huruma kwa wagonjwa inaingiaje sasa na wakati huu!wamuombe radhi, amekuwa Mungu!? Hivi unajisikia rahaa gani unapokuta wagonjwa wamelala chini (mfn mzuri nenda wodi ya sewaaji MNH) au kitanda kimoja kimelaliwa na wagonjwa wawili?
Au unajisikiaje unapokuta foleni ya wagonjwa kama 30 kwenye chumba cha mashine ya x-ray??
Ingekua busara huyo rais ndo'aanze kuomba radhi mbele ya Mungu wake na raia.
Si mmegoma?
Mmemgomea nani, JK au wagonjwa?
You look like a confused lot, kwa hiyo huruma kwa wagonjwa kwako inakuja baada ya matakwa ya mgomo wako kutekelezwa?
Ndio maana nasisitiza that we do not miss you quack doctors, mercenary practitioners, in fact we all wish you would all go away.
Kukushauri kuomba msamaha ni ushauri tu, take it or leave it.