AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,077
Kama ulikuwepo, kama hamna usafiri sivai hata ufanye nini!
Hizo za kuifanya snatch iwe kama inabeba vyuma mfanye vijana, aah sie tulifundishwa mengine kabisaa, with immediate results.
Alafu licha ya hivo... nikanunu Kiatu changu kwa bei ya juu na usawa huu alafu
nikakwangue na kuharibu Stiletto? Next time unaona vimechakaa... Mimi ni mtoko
tu! Nashangaa hata wenzangu wanao tinga nazo ofisini... i say to my self... genuinely utafanyeje kazi?