Umri wako.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(a)3(N+1)=M. (b)M-(2N+3)=P. Substitute N kwa umri wako,jibu la equation(b) i.e P=umri wako!mfano umri wako ni miaka 21,then;(a)3(21+1)=66;(b)66-(42+3)=21 ambao ndo umri wako!
 
Let me explain; (i)chukua umri wako,jumlisha na 1,jibu utakalopata lizidishe mara 3.Jibu utakalopata tulipe jina A. (ii)Chukua umri wako,uzidishe mara 2,kisha jumlisha na 3.jibu utakalopata tulipe jina B. (iii)A-B=Umri wako!
 
sijakuelewa kabsaaa... mi nilijua umeleta swali!
 
Let me explain; (i)chukua umri wako,jumlisha na 1,jibu utakalopata lizidishe mara 3.Jibu utakalopata tulipe jina A. (ii)Chukua umri wako,uzidishe mara 2,kisha jumlisha na 3.jibu utakalopata tulipe jina B. (iii)A-B=Umri wako!

samahani nikichukua umri wa mtu mwingine inabidi nijumlishe na 2 au inakuwaje?
 
(a)3(N+1)=M. (b)M-(2N+3)=P. Substitute N kwa umri wako,jibu la equation(b) i.e P=umri wako!mfano umri wako ni miaka 21,then;(a)3(21+1)=66;(b)66-(42+3)=21 ambao ndo umri wako!

thanx very 4 ur useful puzzles. but umebadilisha gamba la avatar....mmmmmmmmmhhhhhh! afu unatoa vipazo vya hesabu........
yaaani avatar yako yenyewe kwa sasa c shirikishi then unatoa namba. nadhani uwe unaandika sana thread za vitisho, mauaji nk
otherwise watu tutakuwa tunaogopa kabisaaaa namba
 
kwa wale tuliopitia Mahesabu ukiondoa mabano unapata N=P, ipo sawa waelimishe wana JF
solution
3(N+1)=M. (b)M-(2N+3)=P.
3(N+1)-(2N+3)=P.
3N+3-2N-3=P
3N-2N=P
N=P
N=P ni umri wako takao jaza
 
Mh, mkimaliza kujadili Hesabu zenu mtuambie, ili turudi!!:dance::dance:
 
Duh kweli heshabu ni kama baskeli, kama hujui kuendesha huji tu, na kama unajua unajua tu full stop.:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Sasa kama nimeishaweka umri wangu, kwene huo mlolongo wote wa hesabu natafuta nini? Haya si ndio yale mambo ya 2x+3=7 find x? Wakati x kila mtu anaiona hapo.
 
Reversible equation,siku zote kwenye equation za ku-guess umri ni lazima uanze na umri wa mtu,then utamwambia either zidisha mara kadhaa,au gawa kwa namba fulani,mwisho wa siku utarudi pale pale.
 
Back
Top Bottom