Umri wako unaweza hakikishwa kwa HESABU.

sasa kama lengo ni kutafuta umri wako, mbona formula inataka ujue umri ndo uzidishe na hizo figures nyingine??

let umri wako ambao hauujui be X;
therefore formula itakuwa, X=259*X*39.

kajipange upya mkuu.

Soma tena maelekezo mkuu....
 
Mleta mada hajasema kutafuta umri, Mada iliyopo ni kuhakikisha umri (Uhakiki wa umri).

Kwani nini maana ya kuhakiki? Nilidhani pale ambapo tunataka kujiaminisha kuwa umri uliotajwa ni sahihi hii kanuni itatusaidia. Sasa kama tunatumia tena 'data' ambayo ndiyo hiyo hiyo tunataka kuihakiki, nini tija yake? Mi nadhani huu ni mchezo tunacheza wakati wa kujifurahisha tu hasa kwa vijana na watoto, au ukitaka kuondoa tension nyumbani na watoto...
"naweza kukutajia umri wako!"
"Huwezi"
"Haya fanya hesabu hii!, umepata jibu gani?"
"121212"
"Vizuri, umri wako ni miaka 12, by the way"!

Basi, hakuna jingine la maana. Tutafutie formula rahisi ya kujua kama mtu anadanganya umri wake. Itasaidia mahakamani, TFF, mashuleni na makazini wakati wa kustaafu!
 
Hata mimi naweza kutunga yangu kwa staili hiyo. Chukua umri wako zidisha kwa moja jibu lake ni umri wako. Tena yakwangu ni universal. wera weraaaaaa!
 
sasa kama lengo ni kutafuta umri wako, mbona formula inataka ujue umri ndo uzidishe na hizo figures nyingine??

let umri wako ambao hauujui be X;
therefore formula itakuwa, X=259*X*39.

kajipange upya mkuu.

Umempatia kwe kwe kwe, tena bora ata angepost huko kwenye habari mchanganyiko na sio huku.
 
Yan hapo hakuna kitu yani ni sawa na kuchukua pesa mfuko wa suruali na kuziweka mfuko wa shati alaf unasema umeibiwa!

Formula ina hitaji umri wako alaf itafute umri wako tena? Sidhani kama hiyo ni formula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom