Umri wake halisi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha
 
Nyanya mbichi ya SK yameshazungumzwa meeengi sana, hebu tuyaache sasa tujiulize sisi tuliobaki tutaondoka kwa staili ipi
 
So unataka tukamfukue tumsimamishe kizimbani?
Mchanganuo uliotoa sio kila mtu lazima atumie.
Kuna mtoto namfahamu, alisoama primary 6 years, O level 3 years na A level 2 years. Kuna wanaoruka miaka!
All in all Kuna nini cha kuhoji sasa baada ya ndg yetu kurejea kwa Muumba wake?
 
mambo haya muyaache jamani!wala mtililiko huo ulio uweka si lazima uwe hivyo.kuna mtu amezaliwa 84 na sasa ndo amemali kidato cha 6 anasubir matokeo,huwez jua maisha ya mtu yalikua vp?hata ivyo why kanumba?mtu kaisha jifia lakn bado unamsakama tu!tunamambo mengi ya kujadir si hili bwana nadhan umeteleza
 
Upuuzi mwingine huu

ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
Tatizo lipo kwa marehemu kanumba wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae o-level na advance mjini dsm.je kwa nini tusipewe mchanganuo halisi kama huo.nawakilisha
 
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha

Ukipewa itakusaidia nini?
 
Umbea, Ukishajua itakuaaidia nini?

Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha
 
wangapi wanamaliza form six wakiwa 18 yrs old..watu wanaanza shule wakiwa 6 yrs old..peleka hii u turn huko..stupid
 
Itakusaidia nini wewe nyamb..ff zako wewe? Mtu ameshaondoka bado unadadisi kitu gani? Nenda mahakamani basi!!
 
Inshalah jamani nimekosea kwa hili naomba nikiri kosa,nisamehewe kwa hili,ku-mradhi.
Kama kuna uwezekano mod auundoe uzi huu.
 
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha

Acha ujinga kijana. Me nimezaliwa feb 1984 primary 1990-1996
Olevel 1997-2000
Alevel 2001-2003
Udsm 2003-2006
Ma 2006-2008

Kifupi nlianza primary nikiwa na miaka 6 so usibase argument yako na madarasa sbb mdg wangu kaanza lakwanza na miaka 4
 
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha

Acha ujinga wewe. Unadhani ni kila mtu anaanza shule akiwa mzee kama wewe. Nani kakuambia Kanumba alianza shule akiwa na miaka nane? Mbona ilishapitwa na wakati? Kizazi cha kuanzia miaka ya themanini kinakwenda kwa mfumo huu : 18yrs=Form6, 17yrs=Form5, 16yrs= Form4, 15yrs=Form3, 14yrs=Form2, 13yrs=Form 1, 12yrs= std7, 11yrs=std6, 10yrs=std5, 9yrs=std4, 8yrs=std3, 7yrs=std2, 6rs=std1, 5yrs=chekechea, 2.5 - 4=baby class. Mwanangu amemaliza Form six akiwa na miaka 18 na sasa yuko Chuo mwaka wa pili na Mungu akipenda atamaliza akiwa na miaka 21. Hivyo kwa Kanumba hakuna cha kushangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom