Umri wa wachangiaji mada JF

watu wa rika zote teens wazee vikongwe watoto namaanisha chini ya 18 wapooo ukitaka watambua angalia wanayoandika utawatambua
 
Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?

JF ni social Network(Mtandao wa kijamii) na kwenye jamii kuna rika lote kuanzia mtoto,kijana,warembo,hadi wazee ndio maana wewe under 18 upo humu na kina mwakyembe,rwakatare G,na mawaziri wamo humu so imecover age zote!
 
ningesema itz the best answer - lakini hapo kwenye red umefanya fyongo.....
 
Napita tu hapa .......ila situmii morogoro road itanichelewesha!! foleni.
 
Umri wao sitaki hata kudhania ila nahisi kuna watu wazima wenye akili za kitoto na watoto wenye akili za kiutu uzima.
 
safi sana japo una utani na mtu humu...
ameshakula pensheni...ila anachoandika kama Junior wangu...!
 
Umri wao sitaki hata kudhania ila nahisi kuna watu wazima wenye akili za kitoto na watoto wenye akili za kiutu uzima.

safi sana japo una utani na mtu humu...
ameshakula pensheni...ila anachoandika kama kidume Junior wangu...!
 
quote_icon.png
By BAGAH

safi sana japo una utani na Asprin humu...
ameshakula pensheni...ila anachoandika kama kidume Junior wangu...!

Talking Behind Babu's back??
 
Back
Top Bottom