Ni umri gani mtoto anapaswa kutembea?

Hapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe.
Kwani umri wa kutembea mtoto ni upi exactly,na nini husababisha wengine kuchelewa? Kwa anayechelewa kuna tiba yoyote?Na je kuna risk ya huyu mtoto kutotembea kabisa ie. Kuwa mlemavu?
u
Sio tabu, akifikisha miezi kumi na minane hapo ndo unaweza kuona tatizo.
Ninao ushahidi mtoto amekaa mpaka anafikisha mwaka kama leo hv, kesho yake akaanza kutembea baada ya mwezi hv yuko gado sana, wala usipate wasiwasi yuko poa tu ataibuka mpaka wenye naye watasema alikuwa wapi na huwa wanapilika sana.
Usikonde,
 
Asalaam ndgu wanajamvi,

nina mwanangu sasa anaelekea kufikisha miaka miwili lakini hajaanza kutambaa wala kutembea, lakini yuko
active sana miguuni na mikononi... kulikoni jamani?
 
hebu mpeleke hospitalini ila angalia namna ya maisha yako. isije ikawa mtoto muda wote kafungiwa mgongoni na dada yake, hawekwi chini kucheza kama watoto wengine kisa unaogopa uchafu. au pia mtoto hana exposure kwa wenzie. lakini dietwise angalia kama ana anapata mlo wenye calcium vizuri.

mazoezi- mtoe nje kila jua linapochomoza kisha ukiwa na mafuta masaji miguu yake huku ukiwa unainyoosha ili kuiimarisha.

pia mnunulie kigari cha mbao cha matairi 3 kifunge jiwe ili kukitia uzito kisije kikamwangusha. jitahdi sana na mazoezi
 
Habarini,nina mtoto wa kiume umri mwaka na miezi miwili sasa ameuanza wa tatu, awali akiwa na miezi kumi alianza kusimama na vitu lakini mpk leo hajadhubuti kusimama peke yake,wenzie wa rika lake wanatembea wenyewe sasa,je ana tatizo?ni mwepesi just 9kgs,naombeni mnitoe wasiwasi
 
kwa kawaida watoto hutofautiana umri wa kuanza kutembea wengine mapema zaidi wengine huchelewa hivyo kuchelewa kwa mtoto haimaanishi tatizo lolote. visit babycentre.com kwa ushauri zaidi
 
Kubemenda from who?ina mana wazazi hatutakiwi tufanye tendo landoa au?au nisiguswe matiti yangu ambayo huwa nayosha kila baada ya tendo.tunaaminiana hakuna anaetoka nje ya ndoa.mayb wadada wa kazi maana naskia wanahusikaga ktk hilo pia,na siwez prove kama anazini wkt ss tukiwa kazini,nisaidieni bs hata kwa ushauri,nilishamuonya dada from begin kuwa akianza mchezo mchaf mtt hatakuwa
 
Mpe mazoezi ya kutembea na mweke kwenye kundi la watoto wanaokimbiakimbia
 
mmmh happppo kwenye uzito duuuh wa kwangu miezi sita ana kg8.8 na sio bonge wala nini huyo msichana wa kazi usingemwambia akianza mchezo mchafu mtoto hatakua.. bali ungemwambia siku akifanya shughuli yake aoge kwanza ndio amshike mtoto tena umwambie kwa upole na taratibu.akuelewe...
 
dah! Pole sana ila kg 9 ni nyng mno na mwaka 1 na miez mitatu kasoro as wel ni ming pia! Hvyo kuna mawil either chakula anachokula mtoto hakina virutubisho vya kutosha na hasa madin ya calcium....au malezi ya mtoto kama ni mtoto wa kubebwa bebwa mda wote hi inachangia kwa kias kikubwa kupunguza kasi ya mtoto kutembea, jaribu kumuweka katk mazingra ya watoto waenzake wanao tembea!
 
dah roho inaniuma nikiskia hayo,nway asante
 
dah! Pole sana ila kg 9 ni nyng mno na mwaka 1 na miez mitatu kasoro as wel ni ming pia! Hvyo kuna mawil either chakula anachokula mtoto hakina virutubisho vya kutosha na hasa madin ya calcium....au malezi ya mtoto kama ni mtoto wa kubebwa bebwa mda wote hi inachangia kwa kias kikubwa kupunguza kasi ya mtoto kutembea, jaribu kumuweka katk mazingra ya watoto waenzake wanao tembea!

kiukweli ni mtoto asiyebebwa bebwa,kwanza hakubali ukimbeba atakazana ashuke chini,mara nyingi anazunguka tu na kusimama na vtu na michezo yake,khs chakula nampa uji lishe niliosaga mwenyewe,calcium nyingi nadhan ipo kwenye samaki najitahidi anakula samaki japo cjawa na utaalamu wa kumpa hyo mifupa ya samaki,na pia mafuta ya samaki nampa.
 
mtengenezee mtama mwekundu weka ngano isiyokobolewa ,dagaa wa mwanza weupe ambao hawajawa kauzu na karanga ukasage uwe unabadilisha siku nyingine badala ya karanga unaweka soya
 
Mwaka na miezi kwa mtt ni mingi kuwa hajaanza hata kusimama dede na kutembea. Uliwahi kumuweka kwenye baby walker pia inasaidia au vile vijistand venye maringi vya kizamani. Lkn pia kuna uwezekano ana tatizo la kiafya au kimaumbile si vibaya kama utapata ushauri wa Dr. Mm nnavojua wtt wanene sana na.wazito sana ndo huchelewa kutembea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom