Umri wa Lulu, Moja ya ushahidi uliotumiwa huu hapa!

Hiyo habari peleka Issa Michuzi Blog and Gazeti la Uwazi

Mod keshanisaidia kuipeleka jukwaa husika ila huko uwazi na mchuzi sipajui nitashukuru kama utanielekeza ni wapi?
 
Mod keshanisaidia kuipeleka jukwaa husika ila huko uwazi na mchuzi sipajui nitashukuru kama utanielekeza ni wapi?

Michuzi Blogg ni jamaa mmoja mnafiki na asiyekuwa na utanzania, anaweka news za birthday, malibeneke na Udaku
 
haya kumbe michuzi mnafiki hlo niliwai kuliwaza ngoja nifanye utafiti kwanza juu ya hilo
 
Back
Top Bottom