Umri wa kustaafu hauwahusu mabalozi,wakuu wa mikoa

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Kutoka bungeni apaMoses Machali nccr anasema mbona mtu anastaafu serikalini kama wajeda anapigwa ukuu wa mkoa au ubalozi wakati umri umeenda.These people are unemploying the youth.
Tunasubili majibu ya membe
 
Back
Top Bottom