Umri wa Jaji Mkuu mpya M. Chande

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,606
20,340
Jana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama ana umri mkubwa pengine kuliko hata Mh. Agustino Ramadhan anayestaafu. Profile linaonyesha atatimiza miaka 59 hivi karibuni, lakini muonekano halisi ni kwamba inawezekana either ana umri mkubwa zaidi ya huu alioonyesha au ana matatizo fulani ya kiafya. Kuna mtu mwingine ameliona hilo, au ni mawani yangu yalinidanganya?
 
Nami mimeliona hilo hapo jana na nikajiuliza,,je atalitumikia taifa kwa miaka mingapi kama CJ kabla hajastaafu kiumri?
Au je! kuna umri mahsusi kwa CJ kutumika akiwa katika wadhifa kama vile (rais-5yrs,, mbunge-5yrs,, diwani-5yrs)
Najiuliza na nashindwa kujua imekaaje hii na hatma yake...mmh.
 
Jana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama ana umri mkubwa pengine kuliko hata Mh. Agustino Ramadhan anayestaafu. Profile linaonyesha atatimiza miaka 59 hivi karibuni, lakini muonekano halisi ni kwamba inawezekana either ana umri mkubwa zaidi ya huu alioonyesha au ana matatizo fulani ya kiafya. Kuna mtu mwingine ameliona hilo, au ni mawani yangu yalinidanganya?

Mimi nimejiuliza hivyo lakini nikaanza kuwaza may be there is something behind this Jaji mana ni kama anamzidi JAJI mstaafu kwa Umri
 
Jana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama ana umri mkubwa pengine kuliko hata Mh. Agustino Ramadhan anayestaafu. Profile linaonyesha atatimiza miaka 59 hivi karibuni, lakini muonekano halisi ni kwamba inawezekana either ana umri mkubwa zaidi ya huu alioonyesha au ana matatizo fulani ya kiafya. Kuna mtu mwingine ameliona hilo, au ni mawani yangu yalinidanganya?
ukubwa ndio wnye hekima. ndio maana hata papa (wakuu wa vatican) huwa wazee
 
swala la muonekano liweza kuathiriwa na maisha magumu aliyopitia Jaji, ikumbukwe kuwa Jaji Ramadhani amekula Bata tangu akiwa kijana mdogo, na unaweza kujua hili kwakuangalia historia ya familia Yake, anza na yule Askofu Ramadhan, kila mtu kwao amekula kuku bila shida, wakati huyu Chande unaweza kuta alipingwa sana jua akiwa mdogo, ameanza kula Bata akiwa na miaka 40 hivi, ni mtazamo tu.
 
ukubwa ndio wnye hekima. ndio maana hata papa (wakuu wa vatican) huwa wazee
Usiingize mambo mengine tofauti hapa, kama hujui kaa kimya uangalie wengine wanasemaje! Na kama ukubwa ndio hekima, basi Augustino Ramadhani asingelazimika kustaafu!
 
Ndio vigezo wanavyovitumia wenzetu kama wote mna usomi sawa kwa hiyo aliembele ki miaka ana experience zaidi na kakutana na matatizo mengi ya kisheria na kimaisha hivyo by commonsense ni better candidate through experience its one of the proffesion world wide were the aged are favoured.
 
Nadhani hukuelewa mchakato ulivyokuwa. Si kwamba nawalinganisha kwa vigezo vya elimu, ila ni kwamba mmoja anastaafu na mwingine anachukua nafasi ya mstaafu. Sasa hoja hapa ni kwamba anayestaafu anaonekana younger na mchangamfu kuliko anayechukua madaraka.
 
Umri wa kustaafu kisheria ni miaka 65, Jaji Ramadhani wiki hii nafikiri ndio anatimiza miaka hiyo 65.
 
I can vouch for judge Chande's age. We went to the same school and he was 3 classes behind me. He just aged faster after he was sent to East Timor. When I saw him after he got back I was a bit shocked. But he looks much better today.
 
Mohamed Chande Othman has aged very fast , nadhani sababu ya majukumu. !! Tulisoma wote Tanbaza na mimi mpaka sasa bado yankee nadunda hata mvi moja sina kichwani!!
 
Jasusi kumbe umekula chumvi hivyo. Shikamoo kaka.
 
Mohamed Chande Othman has aged very fast , nadhani sababu ya majukumu. !! Tulisoma wote Tanbaza na mimi mpaka sasa bado yankee nadunda hata mvi moja sina kichwani!!

Na wewe nakupa shikamoo kaka.

Shukrani kwa uwepo wenu, mpo tofauti kwenye kutackle issues.
 
sehemu nyingi duniani watu wanadanganya umri wao halisi ili wabaki kwenye utumishi wa umma muda mrefu, ila kwa mri wa mheshimiwa CJ, no comment
 
Nadhani hukuelewa mchakato ulivyokuwa. Si kwamba nawalinganisha kwa vigezo vya elimu, ila ni kwamba mmoja anastaafu na mwingine anachukua nafasi ya mstaafu. Sasa hoja hapa ni kwamba anayestaafu anaonekana younger na mchangamfu kuliko anayechukua madaraka.
hoja yako ina mapungufu fulani kama ukifuatilia maisha ya makuzi ya watanzania yametofautiana kutoka familia moja hadi nyingine
 
Mohamed Chande Othman has aged very fast , nadhani sababu ya majukumu. !! Tulisoma wote Tanbaza na mimi mpaka sasa bado yankee nadunda hata mvi moja sina kichwani!!

Mlimaliza tambaza mwaka Gani? Kipindi hicho mlikuwa wote A level au O level?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom