Umri unasogea

CPU,umetoa ushauri wa hekima sana,isipokuwa tu kwenye hizo red,hayo mambo siku zote ndo huwa nayakataa,'kuoa kwa sababu ya....',hapa unaongelea kuoa kwa sababu ya kukwepa upweke uzeeni,kuwa na nesi wa uhakika,kutunzwa....jamani hizi ndizo SABABU za kuoa kweli? ina maana kama nina invest kwenye 'nursing home' nikalipia pesa kabisa wakati wa ujana wangu basi kwa msingi huu sitakuwa na sababu ya kuoa kwa sababu uzee wangu uko secured?

Bishanga ndugu
Sababu ya kuoa kwangu ni UPENDO.
Na mimi kusema hayo uliyoyakosoa si kwamba ndio SABABU ZA KUOA. Hapa umenielewa vibaya.
Kama kuna mtu ameoa au anataka kuoa/ameolewa au anataka kuolewa ili kutimiza KUPATA KITU FULANI basi nampa pole.

"Mjukuu wangu, UPENDO ndio jina kuu la maisha yako"
RIP my lovely Grandfather M.M.M
 
nafanya kazi jumatatu mpaka ijumaa,jumamosi nafanya kazi za usafi kufua kusafisha nyumba na kuosha gari,nimegundua nimeshazoea maisha hayo,kusema kweli nimejaribisha baadhi ya wanawake wengine walikuja kuishi na mimi lakini sikupendezwa kabisa na character zao,nina watoto wawili kila mmoja na mama yake,nina mpango wa kuwachukua nitafute mtu wa kazi tuendelee na maisha,mama zao nimeshindwa kuishi nao,nafikiri i am too sensitive!thats all
 
Ahahahahhaha eti you are too sensitive!!Kama umeweza kuzaa nao wote wawili alafu sasa hivi unasema ulishindwa kuishi nao mara sijui hupendi character zao naanza kuhisi wewe ndio tatizo na sio wao.Jichunguze!!
 
labda nijiandae kuface uzee nikiwa mpweke,hata nikiishi na watoto wakikua wataniacha kwenda kuishi maisha yao
 
lakini kama nina matatizo mbona mmoja wa dada wa hao wanawake kaniambia dada yake ananimiss?in general naona maisha yote hapa duniani ni matatizo tuu
 
lakini kama nina matatizo mbona mmoja wa dada wa hao wanawake kaniambia dada yake ananimiss?in general naona maisha yote hapa duniani ni matatizo tuu
Sikiliza MOYO wako then fanya kile ambacho utakisikia kutoka moyoni mwako.
 
Tunashindwa kukuelewa mtori! Lazima uheshimu kile ambacho kinakupa furaha maishani mwako, kama umeona kutooa ndicho kikupacho furaha, is okey! Ila kila ujue kuwa kila kitu hupangwa na mungu , hata uzee utaishije? Mungu ndiye anajua, kutokana na sababu walizoeleza wenzangu kuwa uoe mke ili awe nesi wako baadaye nina shaka! Kwani chochote chaweza tokea katikati kama mungu akiamua kumchukua mapema? Ila usipuuze kuoa kwani huchangia umri mkubwa.
 
mbava nakubaliana na wewe hata babu wa loliondo hakujua atakuwa billionea uzeeni
 
Kuoa si lazima lakini ni muhimu, ndugu ni vyema ukaoa ili huko uzeeni ukaepuka upweke vile vile kumbuka unapopatwa na tatizo mko wawili ni rahisi kupata ufafanuzi tofauti ukiwa na ukiwa peke yako. Kumbuka mwanake naye ana nafasi ya kukuletea heshima. Fanya hima uoe sisi wana jamii tutakuchangia usiwe na wasi wasi.
 
Ahahahahhaha eti you are too sensitive!!Kama umeweza kuzaa nao wote wawili alafu sasa hivi unasema ulishindwa kuishi nao mara sijui hupendi character zao naanza kuhisi wewe ndio tatizo na sio wao.Jichunguze!!

Lizzy,

Nadhani namuelewa jamaa yangu. Kuzaa na mtu haichukui dakika kumi. In actual fact - kutokana na niliyoyaona kwa macho yangu (nami umri wangu si haba japo sijamfikia mwenzangu hapo), wanaume wanaokubali mimba ambazo hazijapangwa ni waungwana tu. Angeweza kuzikataa au kuhakikisha zinatolewa. Wengine huwa wanalengeshewa kwa kujua kuwa kuna wanaume likishatokea jambo kama hilo anaona bora aoe kabisa ili kuepuka shida ya kuwa na watoto kutoka kwa wanawake tofauti.

Tatizo lililopo ni kuwa umri aliofikia jamaa yangu kupata mtu atakaendana na character yake ni ngumu (sijasema haiwezakani mind you). Kuna umri wa ku "groom" upate mwenza - unfortunately wengi tunaamini wanawake ni wengi sana kwa hivyo mwanaume akitaka kuoa hata siku ile ile anaweza. Kupata mke ni ngumu sawa sawa na kupata mume. At 42 the right age ni kuanzia 35 na kupanda, sasa huyo wa umri huo ambae hajaolewa na anataka kuolewa na alingane character (kupata hiyo combination si kazi rahisi). Tatizo kubwa hapa ni watoto - ni wanawake wachache wanakubali kwa dhati (wanaojifanya kukubali wapo wengi tu) kulea watoto wa wanawake wenzao.

Brother, mpigie magoti Mungu. Yeye hatashindwa kukupa - kama anaona unastahili na ni kwa manufaa yako kupata- mke. Ila nakuunga mkono: Fikiria masilahi ya watoto kwanza.
 
Back
Top Bottom