Prince Jackson
Member
- Mar 9, 2012
- 22
- 1
Tembocard, Master Card, usafiri, nyumba na uwe una elimu ya chuo kikuu
duuuuu!!!!!!!!!
Tembocard, Master Card, usafiri, nyumba na uwe una elimu ya chuo kikuu
Hainaga umri..wewe tu na mpenzio
umri sahihi wa kuoa na kutulia ni miaka 65 na kuendelea, hapa unauhakika wa kuoa na kutulia, kwakuwa umepitia mengi na umeona mengi, na unajua una maisha marefu, na pengine kiuno hakifanyi kazi yake sawaswa na kama kinafanya hauna mvuto kwa wapenzi wengi kama ulivyokuwa kijana mbichi na pia unabusara ukitafuta wa kukulea uzeeni.habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
umri sahihi wa kuoa na kutulia ni miaka 65 na kuendelea, hapa unauhakika wa kuoa na kutulia, kwakuwa umepitia mengi na umeona mengi, na unajua una maisha marefu, na pengine kiuno hakifanyi kazi yake sawaswa na kama kinafanya hauna mvuto kwa wapenzi wengi kama ulivyokuwa kijana mbichi na pia unabusara ukitafuta wa kukulea uzeeni.
ha ha ha nadhani ni kitambo sana tangu nimejibu hivi.. ha ha ha ha :smile-big:.. for real huu ulikuwa mzaha. anyway.Swali limeulizwa sasa badla ya kujibu vizuri unafanya mzaha. Wewe mzazi wako alioa akiwa na umri huo?
habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
kama mwanaume hajawahi kuonja mautamu ya papuchi toka kuzaliwa basi ni vyema aoe akiwa na 25..ila kama alishaonja utamu wa papuchi basi wala hasioe kabisa becoz ameshaonyesha kudharau umuhimu wa ndoa
Umri wa kuoa kwa mwanaume ni miaka 24 na umri wa kuolewa kwa mwanamke ni miaka 20, mtoa mada amehoji vizuri kabisa umri wa kuoa au kuolewa, mambo mengine hayabatilishi umri muafaka wa kuoa au kuolewa. Lakina kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wanandoa wanajikuta wanapiliza mpaka kitu ambacho ni kosa.habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
kama mwanaume hajawahi kuonja mautamu ya papuchi toka kuzaliwa basi ni vyema aoe akiwa na 25..ila kama alishaonja utamu wa papuchi basi wala hasioe kabisa becoz ameshaonyesha kudharau umuhimu wa ndoa
Umri wa kuoa kwa mwanaume ni miaka 24 na umri wa kuolewa kwa mwanamke ni miaka 20, mtoa mada amehoji vizuri kabisa umri wa kuoa au kuolewa, mambo mengine hayabatilishi umri muafaka wa kuoa au kuolewa. Lakina kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wanandoa wanajikuta wanapiliza mpaka kitu ambacho ni kosa.
Wengine wamesema mpaka uwe na uwezo sasa kitu cha kujiuliza ukikosa uwezo inakuwaje. Pia chukulia uwezo unakuja kwenye miaka 60 inakuwaje.
Utafiti unaonyesha watoto wanaozaliwa na umri stahiki tajwa hapo juu ndio wanazaa watoto wenye akili, nafasi ya kuzaa watoto tahira huongezeka umri unavyosogea mbele.
kiukweli mkioana katika umri wa mfano miaka 35 teyari ndoa yenu ina mashaka, kumbuka kama ni mwajiriwa utakuwa una miaka 20 tu ya kuandaa maisha ya mtoto wako ambaye ni wa kwanza, yaani miaka 35 jumla na 20 unakuwa na 55 umri kustaafu sasa je mtoto wa pili, tatu, nne watasomeshwa na nani.
Pia ukiwa 35 wewe siyo kijana tena ni mzee, ujana mwisho miaka 24, hivyo hata katika kuoana itaonekana ni harusi ya wazee, hivyo haitapendeza sana. Jaribu kuangalia harusi wa maharusi wa umri huo wa miaka 35 na 24 utaipenda ya 24.
kujipanga maana yake nn? Kupo so right my dia, umri sio tija sana. Ni ability ya kuweza ku take responsibilities kimawazo na kimatendo..taking into consideration uwe umejipanga pia.