umri gani mwanaume anapaswa kua na mpenzi?

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
salam jf
leo naomba ufafanuzi juu ya hili. Ni katika umri upi unafaa mwanaume kua na mpenzi, pia anapaswa awe amejiandaaje?

binafsi nina miaka 26, bado sijafikiria hata kua nae na naona poa 2.
 
Mwanaume unatakiwa ukisha fika miaka 20 uwe tayari kuoa na ukichelewa sana basi una miaka 25.
 
funga ndoa mwaya wote wanaokupa angalizo ni wazinzi wazoefu wapotezee amini unachokiamini kwani Yesu pamoja na miaka yake 34+- mbona hakufanya zinaa ?na mbona mpaka leo vidume vinakiri hakuna mwanaume kama yeye?dont fall just stand where you are...ila nakuombea uje upate mke mwema asikuumize moyo wako bali akupe starehe....my congrats to you
 
Some people wa Jf hua hawaeleweki..hua naona vijana waliopo kwenye 20s' wakiomba ushauri kuhusu mapenzi mnawatoa mbio mnawaambia wasome umri bado..sasa huyu mbona mnamuona abnormal??
 
Purple umeona eeheee ...vigeu-geu hawa hawana lolote
 
funga ndoa mwaya wote wanaokupa angalizo ni wazinzi wazoefu wapotezee amini unachokiamini kwani Yesu pamoja na miaka yake 34+- mbona hakufanya zinaa ?na mbona mpaka leo vidume vinakiri hakuna mwanaume kama yeye?dont fall just stand where you are...ila nakuombea uje upate mke mwema asikuumize moyo wako bali akupe starehe....my congrats to you
Kuwa na mpenzi haina maana mngonoke.

Kwani huyo mke atampata na kumfahamu siku hiyo hiyo ya harusi?
 
26 na huna hamu ya kua na mpenzi...we utakua ni mtu wa puli sana...maana watu wa namna hiyo hawapendagi mademu
 
Kuwa na mpenzi haina maana mngonoke.

Kwani huyo mke atampata na kumfahamu siku hiyo hiyo yaharusi?[/QUOTE]
Lizzy mamy wewe ukisema mpenzi unakuwa unamaanisha nini kama si mwenzi wa kungonoka?kuna aliposema yeye hana marafiki wa kike?au unataka kuniambia marafiki wa kike wanaitwa wapenzi?

hapo kwenye high light ndio haswa inatakiwa iwe hivyo...it was planned to be like that by our creator weather you are believer or non believer!
 
Usinchekeshe. . .
Kwahiyo siku ya harusi ataenda mjini/sokoni/bar/shuleni/kanisani/msikitini akamate binti yeyote na kwenda kumuo?

Kaaaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom