UmojaSwitch kuanziasha promosheni ya UMOJA ATM ZALI kuanzia mwezi August hadi Desemba

linas

New Member
Aug 9, 2012
1
0
Mtandao wa UmojaSwitch unaomilikiwa na mabenki 24 kwa sasa umeanzisha campaign kwa wateja wote watumiao kadi za Umoja ATM.Campaign hii itadumu kwa muda wa miezi 5 ambapo watapatikana washindi wengi kila mwezi watakaojinyakulia vitita vya pesa.Ili kujiaunga, fungua akaunti moja tu katika benki 24 na upewe ATM kadi yenye nembo ya Umoja,itakayokusaidia kupata fedha katika ATM yoyote iliyo na nembo ya UmojaSwitch/Umoja.Maswali zaidi http://www.facebook.com/umojaswitch.

Tuambie kama una maoni au pendekezo lolote kuhusu huduma zetu za kifedha.
 
Taja hizo bank tafadhali!
 
Naomba kujua ni benk zipi (24) naweza toa pesa nikiwa na UMOJA SWITCH niliyoipatia TANZANIA POSTAL BANK.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom