Umoja wa wazazi wa CCM wanategemea kukaa kikao kuijadili CHADEMA juu ya UVCCM.

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Umoja wa wazizi wa CCM wanailaumu CHADEMA kwa kuungilia chaguzi za umoja wa vijana wa CCM.

Wanasema chaguzi za UVCCM zinagubikwa na fujo sababu zinaingiliwa na nguvu kutoka nje. Katibu wa umoja wa wazazi wa CCM kasema CHADEMA wanachofanya ni kumnunua yule aliyeshindwa ili agomee uchaguzi na kufanya fujo.

Anasema hiyo mbinu wameigundua na wataifanyia kazi haraka sana.
 
Kila kitu kibaya CHADEMA. Maisha magumu chadema, mfumuko wa bei chadema, ukame chadema, ufisadi chadema, foleni Dar chadema, thamani ya shilingi kushuka chadema, umaskini chadema, uchu wa madaraka ndani ya ccm chadema, bei ya mafuta kupanda chadema, EL na RA kujiuzulu chadema, wizi wa hela za epa chadema. Aaah wimbo mzuri ulioje. Ongezeni mengine wadau
 
Eti "Umoja wa Wazazi". Wazazi wa nani? How shameful to have such kind of parents? Mafisadi tu hao!
 
hiyo ndo siasa ya bongo, full ubabaishaji.
Wanatoa Majibu mepesi kwa maswali magumu, wanasahau kikulacho ki nguoni mwako.
 
Umoja wa wazizi wa CCM wanailaumu CHADEMA kwa kuungilia chaguzi za umoja wa vijana wa CCM.

Wanasema chaguzi za UVCCM zinagubikwa na fujo sababu zinaingiliwa na nguvu kutoka nje. Katibu wa umoja wa wazazi wa CCM kasema CHADEMA wanachofanya ni kumnunua yule aliyeshindwa ili agomee uchaguzi na kufanya fujo.

Anasema hiyo mbinu wameigundua na wataifanyia kazi haraka sana.
alfa lelaulala
 
walizoea kulala muda wote sasa watanzania wameamka hadanganywi mtu
 
Umoja wa wazizi wa CCM wanailaumu CHADEMA kwa kuungilia chaguzi za umoja wa vijana wa CCM.
Wanasema chaguzi za UVCCM zinagubikwa na fujo sababu zinaingiliwa na nguvu kutoka nje. Katibu wa umoja wa wazazi wa CCM kasema CHADEMA wanachofanya ni kumnunua yule aliyeshindwa ili agomee uchaguzi na kufanya fujo.
Anasema hiyo mbinu wameigundua na wataifanyia kazi haraka sana.

Kuweweseka kubaya sana, watu wanaanza kukimbia vivuli vyao wenyewe!...
 
Back
Top Bottom