Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

hilo linahusikaje na umoja wa upinzani?

in BTW ujue mbowe hajamaliza shule alianza akafeli..anaendesha biashara ya pombe na uchangu doa..mjini lakini bado anadaiwa na nssf..

acha personalites tuongee nani aliaanzisha hii idea na imefikia wapi?, je itakuwepo?
tumaini acha longolongo mbowe hajamaliza shule gani primary?haendeshi biashara ya pombe bali burudani kama wewe si mshiriki chill basi kama anadaiwa au hadaiwi hiyo si issue hata serikari ya tanzania na marekani zinadaiwa.....may be hata wewe unadaiwa benki sasa hivi kudaiwa ni kawaida ila kulipa ni mipango
 
Mumemsikia Mrema akisema yeye ni shushushu wa usalama wa taifa. Taifa gani? Taifa la CCM? Kwa mtaji huu kweli kutawezekana kuwepo mwungano wa upinzani? Mwungano wa mashushushu?
 
Kwani CCM wametoa ujumbe gani? ujumbe uliotolewa ni wa rais kama unataka kutuambia rais Kikwete ni wa CCM tu tuambie, sasa kama hata humu JF tunashindwa kutofautisha viongozi wa kitaifa kama rais na chama uuuuwiiiiii......itakuwaje mtu ambaye hakuuona mlango wa darasa atafikiri hata katibu kata ni wa CCM, kweli tuna safari ndefu.

Ni kweli kwamba JK ni rais lakini kupitia CCM na ametoa ujumbe wake kwenye hotuba yake kwa wananchi..nafikri ni utaratibu wa kawaida kwa nchi inayoongozwa kwa mtindo wa vyama vya upinzani kuonyesha mulekeo wao kwa mwaka mpya na kueleza matukio ya kisiasa mwaka uliopita!

Aidha wanaweza kuwa wanajibu hoja za serikali iliyoko madarakani na kuonyesha mapungufu yake kiuchumi kwa wananchi, I waiting for response kutoka kwa kina CUF, CHADEMA etc.
 
Wanasubiri MM Mwanakijiji awafanyie kazi yao ndani ya JF magazeti yachukue nakala zake na wao ndio wadandie.
 
Wanasubiri MM Mwanakijiji awafanyie kazi yao ndani ya JF magazeti yachukue nakala zake na wao ndio wadandie.

Really? what a joke?

Nafikiri upinzani umekosa viongozi wenye strategy (mkakati) endelevu kwa mambo ya kitaifa. umoja wao kwa sasa umekuwa nightmare!
 
Really? what a joke?

Nafikiri upinzani umekosa viongozi wenye strategy (mkakati) endelevu kwa mambo ya kitaifa. umoja wao kwa sasa umekuwa nightmare!
amna umoja hapo kuna selfish motives tuu hiyo ni opinion yangu tu lakini.

Hila common sense ingekua wapiganaji wa FMES; MM KJJ na wapinzani wangekua chama kimoja hapo unajua hata kama hawato shinda bali watakua na idadi kubwa sana bungeni na watawapa watanzania wengi moyo vinginevyo tusubiri.

Anyway ways what do i know about the complexity of that union.
 
hilo linahusikaje na umoja wa upinzani?

in BTW ujue mbowe hajamaliza shule alianza akafeli..anaendesha biashara ya pombe na uchangu doa..mjini lakini bado anadaiwa na nssf..

acha personalites tuongee nani aliaanzisha hii idea na imefikia wapi?, je itakuwepo?

Jamani Tumaini niliona una busara sasa unaharibu kama papa Sam???? Mbona na ww unaanza kutoa personalities za Mbowe? ina maana na ww una ugonvi nae kama papa sam na Lipumba?, Tuongelee ishue ya thread mbona uliitoa safi kabisa???
 
Kama Augustine Mrema amekiri kwamba yeye ni "Usalama wa Taifa", ni dhahiri kwamba alikuwa mamluki wa CCM 1995 alipojiunga na Upinzani, wakati huo akikampeni eti kuwa Rais kwa tikiti ya NCCR-Mageuzi. Aibu!

Kwa hiyo nakubaliana na Mwana-JF, MwanaFalsafa hapo juu kwamba the solution is to have a strong Opposition Party, rather than an alliance of weak ones. Under present circumstances, that party is obviously CHADEMA. Mrema and his TLP and other mamluki parties joined in Tarime to try to defeat Chadema, but they failed in that bye-election. Since then Chadema has made strides and was only narrowly defeated by "mbinu" in Busanda and Biharamulo.

There appears to be attempts, supported by some JF Members to discredit Freeman Mbowe on the basis of the fact that he is not a graduate of a University. Those of us who have heard him analyse national issues rate him much higher than any PhD holder. His cogency and marshalling of arguments, his persuasiveness and presentation are comparable to any of the leading politicians of Tanzania. Above all, his charisma is fantastic.

Other JF Members blame him for borrowing from a bank or financial institution to run his business. This is absurd. At least in this instance, Mbowe is not a "fisadi". He is one of the few politicians in Tanzania who doesn't have to be an M.P. in order to live. He is not a beggar. His is a mission to serve as an ardent serious patriot.

Above all, Mbowe talks in sympathy with the wanyonge and is leading the one party whose policies clearly deal with the poverty issue. Even Mwalimu Nyerere noted Chadema's stance and praised it once. At that time it was led by Edwin Mtei, and it hasn't changed.

Therefore the answer to the question uf Unity of Political Parties is join Chadema. Either the small parties, which are not "mamluki" of CCM or those Tanzanians who are in parties like those of Mrema, should quit and join.
 
Back
Top Bottom