Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

Kaizer una uhakika na ombi lako??!
Mi naomba tu kuwa mlezi wa chama.
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaaziamini bla bla za mtoa hoja? mpotezee bana.


ah ha ha ha haha Nshomile Bishanga naona umeanza kuona red lights kwa umoja huu kukuhatarishia amani yako hapa CC, (chit chat a.k.a Central committee)
 
Last edited by a moderator:
jamani naendelea kutoa witoo kwa mabachela wooote waliopo hapa chitchat tujitokeze kukiunga mkono hiki chama kwa ukombozi wa mabachela wooote


UMACHI..... tumaini jipya la wana chitchat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom