umilikishaji wa silaha

edith lyamuya

New Member
May 31, 2012
1
0
hivi wananchi kumiliki silaha ni sahihi? Wanazipataje na kwasheria ipi?
nani alaumiwe zinapotumika kinyume na taratibu?
 
Silaha zinamilikiwa na familia zote hata kwenu, labda matumizi ndiyo yanatofautiana.....kumbuka vitu kama mapanga, visu, wembe, nyundo, sime, bunduki, sulphur na vinginevyo ni silaha.

hivi wananchi kumiliki silaha ni sahihi? Wanazipataje na kwasheria ipi?
nani alaumiwe zinapotumika kinyume na taratibu?
 
Sahihi kabisa, tena jeshi la polisi lilivyo dhaifu kila mwananchi inabidi awe na bastola nyumbani, nenda kituo cha polisi utapata taratibu zote za kupata kibali cha kumiliki silaha. Ukitumia kinyume na taratibu wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom