Umeya(Mayor) ni nini ?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Jamani naweza kuuliza huu Umeya ambao umezua pata shika baada ya uchaguzi mkuu ni kitu gani na una maana gani(Au una nguvu gani) Kisheria ,je watu hawa ni sawa na wale regional(Wakuu wa Mikoa) au Wilaya ?
Tafadhalini msinione mjinga ,nauliza tu ili kutaka kujua kwa undani pengine nina wenzangu ambao nao wangependa kujua.
 
Nina wasi wasi tupo wengi :israel:
Swali sahihi hutoka kwa mtu mwenye fikra sahihi, anayetaka kujifunza!
Wewe ni msanii, umejaa kejeli na swali lako ni la kipuuzi, ndiyo maana tunaku'disregard!
Soma kwenye hiyo kompyuta, majibu yamo!
 
Jamani naweza kuuliza huu Umeya ambao umezua pata shika baada ya uchaguzi mkuu ni kitu gani na una maana gani(Au una nguvu gani) Kisheria ,je watu hawa ni sawa na wale regional(Wakuu wa Mikoa) au Wilaya ?
Tafadhalini msinione mjinga ,nauliza tu ili kutaka kujua kwa undani pengine nina wenzangu ambao nao wangependa kujua.

ndo maana wana jamvini huwa wako sahihi kutilia mashaka uelewa wako wa mambo ya kisiasa, kumbe huwa unashabikia vitu bila kuelewa maana yake? Pole sana!
 
Nazidi kupata uhakika kuwa tupo wengi !! Yaani hapa jazba yote imefungika ,nilijua tu ,watu wanarukia basi kwa mbele ,yaani wanaogopa hata kubahatisha ,mtasema sana ila nasuburi jibu kwa wenye uelewa.
 
Back
Top Bottom