Umewahi?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kula Sambusa yenye pembe tatu kamili
Ni tamu
Kama hujawahi nenda Kajaribu
 
kweli huu ni mwanzo mzuri wa weekend,, wapi napatia mimi hiyo pembetatu???
 
hivi kwani kuna sambusa ya pembe mbili au moja?labda uulize kama tumewahi kula sambusa.me sijawahi hebu nieleze huo utamu wake ati!
 
dah yale yale ukishangaa ya musa utaona ya firauni, mbaya zaidi details za hiyo kitu ametumegea kwa uchoyo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom