Umewahi.....?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
:bounce:Je umeshawahi kumkumbushia mpenzi wako jinsi alivyokuwa akikutokea/tokewa mpaka mkawa wapenzi na kuvuliana makufuli na kupeana raha kwa mara ya kwanza?
 
Nimeshawahi kukumbushiwa......................inatia raha sana! Ni reminder nzuri katika kuhuisha mahusiano yenu.
 
yaani mie huwa namkumbushiaga sana, haaaa raha sana, huwa nafurahia nikikumbuka.
 
siku hizi ni ngumu kidogo mama!
mambo yamekuwa ''elektronikale zaidi''
vijana wanakutana baa huko.
step ya kwanza ''NAOMBA KONTAKTI ZAKO''...something very very common
 
hata mie niliombwa contact hivyo hivyo, raha yangu ilikuwa kumuona ile cku ya kwanza alivyokuwa mnyonge, yaani wacha tu....
 
:bounce:Je umeshawahi kumkumbushia mpenzi wako jinsi alivyokuwa akikutokea/tokewa mpaka mkawa wapenzi na kuvuliana makufuli na kupeana raha kwa mara ya kwanza?

Mimi ni mara kwa mara, hasa tukiwa katika hali fulani nzuri au tofauti.
 
:bounce:Je umeshawahi kumkumbushia mpenzi wako jinsi alivyokuwa akikutokea/tokewa mpaka mkawa wapenzi na kuvuliana makufuli na kupeana raha kwa mara ya kwanza?
Mimi huwa nakumbushwa na yule niliyem'bikiri............. inanipa raha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom