Umewahi Sikia Hii??

maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol

Unaenda kukipigia gemu zenj, tuone je police watakuja...? then unamkomesha akome....>!
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol
Pole mkuu ulitoa bei gani?
 
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa kutoka kimitegomitego. Kafumaniwa na mabosi wake zaidi ya watano, mwisho wa fumanizi mgoni analipa tu faini ya shilingi laki tano. Watu kuja kushtuka kuwa ulikuwa ni mchezo uliokuwa unachezwa na huyu mama kwa kushirikiana na mume wake, wakware wengi walishachomolewa pesa sana tu. Thanks God alihama mji na kazi aliacha....

duh hii kali haysee, so huyo ni chakula ya mabosi tu, mfagiaji mwenzake hawezi kula mana anajua hana kipato!
 
duh hii kali haysee, so huyo ni chakula ya mabosi tu, mfagiaji mwenzake hawezi kula mana anajua hana kipato!
Hachagui hata kama huna kipato ukifumaniwa utajipinda upate hiyo laki tano ili kukwepa aibu!
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol

TB...Hii umeidaka wapi?
 
Kama mtu inasemekana kuwa anaweza kumpisha rafiki yake, basi na hili linawezekana. Halina mjadala hapa, naona hii ni taarifa tu. Ni chaguo lako ukichoka kisamvu mkubaliane ingawa si rahisi kwa wengi kwani inaweza kuwa chanzo cha talaka.
 
Back
Top Bottom