Umewahi pata adhabu hizi??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
399094_420522164674426_107348019_n.jpg
Maisha ya shule...
 
Nakumbuka usagara shelutete wakati ni mwalimu wa chemistry late 70's alitoa kama hio na kubeba desk lako!
 
Kwa sisi tuliopitia Jitegemee hiyo ni ndogo sana,Hasa siku hiyo umkute Bwenge ana hasira zake huko alipotoka......
 
natupa hapo chini nakimbia mpaka nyumbani sirudi tena shule,nakumbukaa nikiwa std six mwalimu alitoa dhabu ya viboko 12 du nikaona hapa shida sana ile apenichapa 1 nikaanguka chini nikabana pumzi at nimezimia fasta nikakimbizwa hospitali ile nes wanaanza kuniwekea drip nikawaambi nimepona sikutandikwa tena mpaka namaliza shule ,
 
Hilo zoezi linafaa kwa afya

Work is said to be done when a certain amount of force is applied in the direction of the force.
Workdone = Force x Distance.
Zoezi kama kukimbia, kucheza mpira ni moja ya kazi(zoezi), lakini kubeba tofali na kutulizwa mahali pamoja hiyo si kazi bali ni uonevu na udhalilishaji tu.
 
natupa hapo chini nakimbia mpaka nyumbani sirudi tena shule,nakumbukaa nikiwa std six mwalimu alitoa dhabu ya viboko 12 du nikaona hapa shida sana ile apenichapa 1 nikaanguka chini nikabana pumzi at nimezimia fasta nikakimbizwa hospitali ile nes wanaanza kuniwekea drip nikawaambi nimepona sikutandikwa tena mpaka namaliza shule ,
Hizi adhabu sometimes zilikuwa zinatujenga kiaina.
 
Work is said to be done when a certain amount of force is applied in the direction of force.
Workdone = Force x Distance.
Zoezi kama kukimbia, kucheza mpira ni moja ya kazi(zoezi), lakini kubeba tofali na kutulizwa mahali pamoja hiyo si kazi bali ni uonevu na udhalilishaji tu.
hapa umenena mkuu............
 
natupa hapo chini nakimbia mpaka nyumbani sirudi tena shule,nakumbukaa nikiwa std six mwalimu alitoa dhabu ya viboko 12 du nikaona hapa shida sana ile apenichapa 1 nikaanguka chini nikabana pumzi at nimezimia fasta nikakimbizwa hospitali ile nes wanaanza kuniwekea drip nikawaambi nimepona sikutandikwa tena mpaka namaliza shule ,

Hahahahaha janja sana wewe
 
Ulikosa nini hadi ukaadhibiwa kufagia?

Nilichelewa nikaambiwa nikafagie, nikaomba msamaha mwalimu akakataa akanigooomba vizuri, na mie nikaliiiiia vizuri, mpaka akatokea jamaa mmoja anaitwa Mussa na rafiki yake anaitwa Anthony (bless their hearts), wakanbembeleza weee, nikanyamaza wakafagia wao :)
 
Hahahaaa..duuuh!

Yaelekea ulikuwa mwanafunzi mtiifu sana wewe.

Sie wengine tushawakosa kosa ngumi walimu.
 
Hehehe mie sio nilikuwa mtii, ni mtii hadi sasa. Hapati mtu tabu hapa ;)

Kisa cha kumkosa kosa mwalimu ngumi?
 
Kisa ni kukataa kunyanyaswa!

Wewe mtu unapigwa kama mtumwa sababu tu monita kakuandika jina eti ulikuwa unapiga kelele?

Halafu unaamriwa ushike dawati au ukuta halafu ucharazwe mboko sita, na kabla ya hapo unapapaswa kuona kama umeweka makaratasi kwenye kaptura.

Hapana bana. Siyo mtumwa miye. Ukinigusa kwa nguvu inakurudia, ima fa ima.

Nchi za watu mwalimu hagusi mwana wa mwingine.
 
Back
Top Bottom