Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

Mi kabla sijaoa wife akiwa bado chuo nikapata kabinti kadenti flani ka mitaa ya jirani. Nikawa najimegea kilaini. Siku wife (wakati huo mchumba) akatinga bila taarifa, wakati huo nilikuwa na promise ya kukamega kadenti. Balaa kabinti hakana simu. Tuko sebuleni na wife tunapiga stori mara ghafla kadenti kakaingia.... Nilitamani kuzimia. Kama kawaida shetani akanisaidia kusolvu problem. Nikakaambia kadenti.... Baba kasharudi toka kazini? Aliniambia akija nimuone kuna kitu anataka tuongee. Kabinti na kenyewe kakawa kajanja (sijui kalisaidiwa na pepo) Kakashtukia dili kakanijibu Ndio amenituma nije nikuite..... Mzee nikasevu zali. Hahahaha! Omba Mungu usifumaniwe! Ni disasta!

mpwa vipi mbona post yako ndefu sana?!upo kozi za u-lijendi?:DS.O.P
 
Back
Top Bottom