Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

hehehe!
mimi pia nakushauri hawa wa-kimya achana nao!ugomvi wao ni mkubwa sana akikasirika.anakuwa na malimbikizo ya hasira zote za makosa aliyokaa kimya

hahahah wewe ukoje Geoff?
 
Mfundishe anywe japo ka-brandy nusu, vinginevyo utaboreka au ukikutana anayestua kilaji inaweza kuwa hadithi ingine. Pia nawaza ukirudi nyumbani una harufu ya kilaji na mwenzio haonji unategemea nini?

Kwa hilo hana hata tatizo, tena kuna kipindi nilitaka kuacha kabisa kunywa. ILa sema yeye mwenyewe ndio mnunuaji mzuri wa wine na kuniletea, anasema niwe nakunywa wine na sio beer.
 
hahahah wewe ukoje Geoff?

hakika sikutanii festiledi,
ninayo mifano.lakini mkubwa zaidi ni wa my fiance!yeye ni mkimya.niliwahi kuongea kitu fulani kikamuudhi sana,lakini hakuniambia.mimi nikajua easy!

cha ajabu ni kwamba alikuwa anafanya mgomo baridi,kwenye ishu ya kutoka out(hiyo kauli niliiongea tukiwa kipepeo-beach-outing).tulikaa mwaka alikuwa hataki kutoka.mimi nikajua easy tu!baadae nikakuta mwenzangu anazidi kunibadilikia....!nilivyoona hali mbaya na mimi nikakasirika.tulipoamua kumaliza tofauti zetu na mapenzi yaendelee I WAS SHOCKED!....nilipoambiwa chanzo cha tatizo
 
si kampani tu!
wife wangu hagusi kinywaji,NA HATAKI KUSIKIA!

Ama kweli huwezi kumpata mliolingana, kama wa kwangu hataki kinywaji hata chembe. ILa kutoka out inabidi tu mtoke wote.
 
Kwa hilo hana hata tatizo, tena kuna kipindi nilitaka kuacha kabisa kunywa. ILa sema yeye mwenyewe ndio mnunuaji mzuri wa wine na kuniletea, anasema niwe nakunywa wine na sio beer.

Kumbe anataka wewe unywe wine. Hasa mida ya kulala au vp? Na yeye ni juice ya passion tu. Sasa namuelewa, anayo akili.
 
Halafu Nyamayao wewe kama yule Nyamayao wa maaigizo,eeehh ikawaje sasa?Naamini haumkuchunia

ndio nani tena huyo CHE unaenifananisha nae?.....unajua kuna wanaume hawana utu kabisa, nipo nae dinner 2meachana vizuri ucku huo, kesho yake namtumia sms ya gmrng mtu kimya, nikaamua kucal kabisa simu hapokelewi eeh kumbe mwenzangu ndio imetoka hiyo.
 
hakika sikutanii festiledi,
ninayo mifano.lakini mkubwa zaidi ni wa my fiance!yeye ni mkimya.niliwahi kuongea kitu fulani kikamuudhi sana,lakini hakuniambia.mimi nikajua easy!

Cha ajabu ni kwamba alikuwa anafanya mgomo baridi,kwenye ishu ya kutoka out(hiyo kauli niliiongea tukiwa kipepeo-beach-outing).tulikaa mwaka alikuwa hataki kutoka.mimi nikajua easy tu!baadae nikakuta mwenzangu anazidi kunibadilikia....!nilivyoona hali mbaya na mimi nikakasirika.tulipoamua kumaliza tofauti zetu na mapenzi yaendelee i was shocked!....nilipoambiwa chanzo cha tatizo

pole sana loh ila mbona kaissue kalikuwa kadogo akanuna
watu wakimya bwana ni noma sana
 
ndio nani tena huyo CHE unaenifananisha nae?.....unajua kuna wanaume hawana utu kabisa, nipo nae dinner 2meachana vizuri ucku huo, kesho yake namtumia sms ya gmrng mtu kimya, nikaamua kucal kabisa simu hapokelewi eeh kumbe mwenzangu ndio imetoka hiyo.
kha!
nyamayao,hili limenisikitisha sana.ni-pm namba zako nikupigie shortly
 
vipi,
kitandani ulikuwa vizuri baibe?!?!

hapo hapana maelezo mana kama ningekuwa vibaya angeshaniacha mapema....ni 2yrs tupo pa1 na mikakati kemkem, alinifanya nikaogopa wanaume sana nikaona kila mmoja atanitenda kumbe nilikuwa wrong....
 
lol!ulikuwa wrong.sisi wanaume wapwa hatunaga ma-problem!kama unabisha njoo mkulima pub leo ubungo-kona!tunakutana pale kwa ajili ta kitimotom na bia.hatuna tatizo kabisa
 
ndio nani tena huyo CHE unaenifananisha nae?.....unajua kuna wanaume hawana utu kabisa, nipo nae dinner 2meachana vizuri ucku huo, kesho yake namtumia sms ya gmrng mtu kimya, nikaamua kucal kabisa simu hapokelewi eeh kumbe mwenzangu ndio imetoka hiyo.

we nyamayao hee huyo mbona alikuwa kama shetani mtoa roho za watu
 
lol!ulikuwa wrong.sisi wanaume wapwa hatunaga ma-problem!kama unabisha njoo mkulima pub leo ubungo-kona!tunakutana pale kwa ajili ta kitimotom na bia.hatuna tatizo kabisa

naona kama unaanza kushusaha verse binamu weye
 
kha!
nyamayao,hili limenisikitisha sana.ni-pm namba zako nikupigie shortly

halafu unaweza kuona baadhi ya wanaume walivyo wa ajabu, kackia nimepowa, akaanza usumbufu wa calls na kila namna tuweze kuonana, nilikuwa nampa wazi kwamba mie ni mchumba wa mtu na bado cku chache niitwe mrs, ananiambia eti mie ndio nilikuwa chaguo lake, alikuwa ananifanyia vituko kwenye fone mpaka ikabidi nimwambie mr ukweli akaniambia wala ucjali tupo pa1.....tulikutana nipo na mimba ya miezi kadhaa anadani yaani ulivyopendeza mie ndio nilistahili kukupendezesha, nilimkata jicho baya walaah hakuamini.
 
hahahaha!hamnaga adhabu nzito kwangu kama kukatwa jicho,unaopandishwa,unashushwa kama mara kadhaa halafu unafyonywa!lol.

ndo maana wewe ni mtu wa hasira sana!hasa kwenye posti zako za mahusiano
 
Back
Top Bottom