Umewahi Kujiuliza Haya Maswali......?

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
1. Karibu watu wote huwa tunakunywa maziwa; hivi mtu wa kwanza alifikwa na nini hadi akaamua: "Ngoja nikamue chuchu za huyu ng'ombe na ninywe kitakachotoka"?

2. Mtu wa kwanza aliewaza: "Hiki kitu cha mviringo kilichomtoka huyu ndege nikikikaanga au nikakichemsha nitakila" alifikwa na nini nae?

Au ndio maana kuna watu wanafanya vitu ambavyo wala wengine wasingeweza kuvifikiria? Kwa mfano nimesikia eti ukioshea nywele zako kwa bia zina-retain naturality yake! Who would have guessed that?
 
maswali lukukiiiiiii mbona zaid ya haya mi huwa najiulizagaaa weeee mpaka nasema hapana ngoja niache tuu .
 
Umeshawahi kujiuliza hv ni kwa nini ukitafuna karanga mbichi unaongeza 'vitamini'?
 
kujiuliza sana kwa nini mwisho wake unaishia kudata tu...kuna mama mmoja alikua anajiuliza hivi kwa nini watu 22 katika mchezo wa soka, wanagombania kampira kamoja tu ili wakatumbukize kwenye nyavu...mwisho wa siku akahitimisha kuwa wachezaji hawana vitu vya maana vya kufanya na ndio maana wanacheza huo mchezo
 
ushawahi kujiuliza kwann mtu aku-poo anaenjoy sanaaaaaaa??? lol na mfyonzo je??? mtu wa kwanza kugundua mfyonzo alisikiaje??
 
ushawahi kujiuliza hivi uliwezaje kukaa tumboni mwa mama yako kwa muda wa miezi 9,afu ukazaliwa na wakati ulipokuwa mdogo alikuwa anakutawaza anakuangalia maumbile yako hasa wanaume wakati umetahiriwa!!!!!!
 
ushawahi kujiuliza hivi uliwezaje kukaa tumboni mwa mama yako kwa muda wa miezi 9,afu ukazaliwa na wakati ulipokuwa mdogo alikuwa anakutawaza anakuangalia maumbile yako hasa wanaume wakati umetahiriwa!!!!!!

Na hii leo mamako akikuambia hebu niangalie dondo kwenye dudu unakataa huwa najiuliza sana kwa nini wazazi wetu walikuwa wanatuchapa tukisex na vitoto vyenzetu najiulizaga wangetuacha tungeexpiarance mpaka sasa tumgeacha kama tulivyoacha michezo mingine ya kitoto mf. kombolela,kukimbizana na mingineyo huwa najiuliza xana
 
Na hii leo mamako akikuambia hebu niangalie dondo kwenye dudu unakataa huwa najinajiuliza sana kwa nini wazazi wetu walikuwa wanatuchapa tukisex na vitoto vyenzetuulizaga wangetuacha tungeexpiarance mpaka sasa tumgeacha kama tulivyoacha michezo mingine ya kitoto mf. kombolela,kukimbizana na mingineyo huwa najiuliza xana
Nami najiuliza kwa nini huo mchezo unaung'ang'ania, ................... na usiuache kama ulivyoacha Kombolela,kukimbizana na mingineyo!!!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom