Umewahi kufanyiwa Operation....

.. Boflo don't do that plz!
Ya..... Tumbo, Uzazi, Moyo, Koo, Matiti, Kupunguza/Kukuza Makalio.........

Ni lini na hospital gani??

Mimi sijawahi fanyiwa operation hata 1 lakini nina mpango wa kufanya penis enlargement niwashikishe adabu kwa

wanaotaka kufunzwa na Ulimwengu...


View attachment 65369
 
Last edited by a moderator:
Kutogwa masikio je? kama ni aina ya operation, mie nimefanyiwa masikio yote mawili...
 
Boflo jikubali vile ulivyo, and make correct and effective us of what you have. Pleasure will be yours always
 
Back
Top Bottom