Umewahi kufanyiwa Operation....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Ya..... Tumbo, Uzazi, Moyo, Koo, Matiti, Kupunguza/Kukuza Makalio.........

Ni lini na hospital gani??

Mimi sijawahi fanyiwa operation hata 1 lakini nina mpango wa kufanya penis enlargement niwashikishe adabu kwa

wanaotaka kufunzwa na Ulimwengu...

6.jpeg
 
Boflo, Kuna mwenzio alikufa kwa kutaka kuukuza, its how you can use it and not how big it is. Tena achana na habari za vijiweni, watakupoteza.
 
Boflo, Kuna mwenzio alikufa kwa kutaka kuukuza, its how you can use it and not how big it is. Tena achana na habari za vijiweni, watakupoteza.

sio tu vijiweni..wanawake pia wanaweka pressure..unakuta mwanamke mbele za watu anasema aah mwanaume mwenyewe kidude kidogo..sa hapo jamaa anataka aweke heshima wawe wanasema eeh boflo yule ana nyoka kwenye suruali yake :happy:
 
Back
Top Bottom