Umewahi kufanya ukauzu gani kwa mpenzi wako?!

kuna mshikaji wangu ni eng. Pale tanga cement. Yeye alipata mtoto wa kishua mutoto ya kihaya kwao mboga saba na kazi nzuri anayo. mshikaji naye mkwanja upo. Mtoto akawa anakuja Tanga. Anakaa wknd yote kuanzia ijumaa hadi j2 jion anarudi bongo. Ila demu alikuwa ni mvivu wa kipika hvyo mara nyingi alimtaka msikaji wakale kwa hotel au baa, jaama alimpeleka kama mara mbili tu kwwa zile wk za ugeni. Alivyoona mtoto anazoea alianza kumpeleka kwenye misosi ya kina mama ntile wanaojipanga jioni na meza zao kuanzia pale maeneo ya stendi ya tanga njini taifa road kunziapale brbr ya 13 hdi brbr ya 18,.misosi ya bukubuku kwa mia saba. Akitoka hapo anampeleka kunywa juisi ya miwa kwa wapemba. Ilibidi demu baada ya muda ajivue asepe tu baada ya kuvumilia hako kamtindo kwa miezi 5.jamaa akasema alishamstukia demu sio mvumilivu hivyo alikuwa anampima kuwa kafata hela na status au ni mapenzi ya dhat?

teh teh teh,chezea engineer weye!
 
mimi alishakuja getto nikasonga ugali akajifanya ugali haupandi nimnunulie chipsi si unajua masista duu nikaufinya peke yangu, nikamwambia hela niliyonayo haitoshi chips.
Akaniomba nauli nikampa 500 alikaa wiki moja hajanipigia simu na mimi nikamkaushia akaona nini sijui akaamua kwenda hewani. Siku nyingine akarudi getto tukapeana mambo


Nitonye you made my day!
 
Afu NasDaz haiwezekani, lazima utakuwa Mpare wewe! Coz sijawahi kuona mwanaume bahiri kama wewe! Kwa demu unayemsufia kihivyo afu anaku-date for the first time naturally akili ya mwanaume yeyote ingeizungukia dunia nzima ndani ya sekunde tano na ikarudi na elfu hamsini! Unacheki? Achana na kitu first dating kwa demu mwenye mvuto wa kiwango kama unavyojaribu kutujengea hisia; unaweza ukatoka hata na gari ya mkopo! Au nasema uwongo mazee? Taawira unayojenga inawezekana tu kwa demu wa kiwango hicho uliyemlima siyo chini ya mara tano, but never for a real queen's first dating.

Hata hivyo stori yako inamvuto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom