Umewahi kufanya ukauzu gani kwa mpenzi wako?!

Hapo uliliwa mkuu pole sana

Aah mkuu hujaelewa, ile kupunguza huduma ya chakula na kuongeza huduma ya pombe iliwamaliza nikajisevia kiulaini coz si unajua ukila ze laga bila misosi lazima zikutokee puani? Alipata chake na bado anaamini ninaishi arusha wakati nikimpiia nazuga ndo nimekuja dar, so napata changu! Huo sio ukauzu mkuu?
 
mimi alishakuja getto nikasonga ugali akajifanya ugali haupandi nimnunulie chipsi si unajua masista duu nikaufinya peke yangu, nikamwambia hela niliyonayo haitoshi chips.
Akaniomba nauli nikampa 500 alikaa wiki moja hajanipigia simu na mimi nikamkaushia akaona nini sijui akaamua kwenda hewani. Siku nyingine akarudi getto tukapeana mambo
Tobaaaaaaa!..
 
mimi na msela wangu,tulifika club tukakutana na mashori wawili tukanywesha,ilipofika mda wa kwenda kupanjuka wakatupeleka guest ambayo wamezoeleka,kufika wakaanza kutupiga mkwara eti wao ni ma afande tuwambie sisi ni wa wapi na tunafanya kazi gani. Tukawapoza na maneno matamu tukaigia room double beds.wakagoma kutoa mchezo eti tulale kwanza,walipopitiwa na usingizi wa pombe, tukajichukulia simu zao nne, ki ipod.na kusepa nazo.tukapanda magari ya kuja sirari border hii ilitokea kisii kenya.true story.cheza na mtz wewe.
 
Mie niliwahi kumfanyia ukauzu shoree mmoja! Tulisafiri wote toka arusha kuja dar, siku hiyo nilikuwa njema sana nikawa na vikopo vyangu katoni nagonga kiaina wakati wa safari ndani ya dar express. Katika maongezi binti tukabadilishana namba. Baada ya siku tatu demu tukakubaliana tukutane rose garden, lahaula akaibuka na mwenzie, anakunywa pombe kama maji, niliona hapa watanizidi mfukoni nina hela za kutosha ila sikupanga kuhudumia mangurupembe kama yule asha ngedere aliekuja nae. Nilichofanya ili wasinifilisi, NIKAONGEZA HUDUMA YA POMBE NIKAWA NAZIMWAGA MBILI MBILI THEN NIKAPUNGUZA HUDUMA YA CHAKULA, NIKAAGIZA NUSU KUKU, NDIZI MOJA HALAFU TUKASHEA WOTE. Uroho ukawaisha na ishu nikaondoka nayo lile ngurupembe nikamuunganisha msela wangu alikuwa pale akasepa nalo namie huyoooo nikajisunda kimiani. Then kuanzia siku hiyo nikajua demu ni mlupo so huwa kila akipiga namuambia nipo arusha ila nikiwa na hamu nae nampigia najifanya ndo nimekuja dar! Looools!
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!
 
kipochi manyoya ulifunua?
 
afu unajiona mjanjaaa?!..ukimwi unakujaga kwa style hiyohiyo
 
Hao lazima waliosha vyombo na kubeba viti na meneja akajichagulia wa kwenda nae? Loools, wakome kupenda vya dezodezo!
 
afu unajiona mjanjaaa?!..ukimwi unakujaga kwa style hiyohiyo

Mama Isaack, ukimwi kuupata unajitakia. Kumbuka nilipojua wataniingiza gharama niliwaongezea huduma ya ulabu misosi nikakata. Sasa unadhani mie nililewa? Si ilikuwa payback? Sasa unafanya bure na usivae mfuko wa mchudhi? Haipogo hiyo! Lols, ni ukauzu kwenda mbele!
 
Mie niliwahi kumfanyia ukauzu shoree mmoja! Tulisafiri wote toka arusha kuja dar, siku hiyo nilikuwa njema sana nikawa na vikopo vyangu katoni nagonga kiaina wakati wa safari ndani ya dar express. Katika maongezi binti tukabadilishana namba. Baada ya siku tatu demu tukakubaliana tukutane rose garden, lahaula akaibuka na mwenzie, anakunywa pombe kama maji, niliona hapa watanizidi mfukoni nina hela za kutosha ila sikupanga kuhudumia mangurupembe kama yule asha ngedere aliekuja nae. Nilichofanya ili wasinifilisi, NIKAONGEZA HUDUMA YA POMBE NIKAWA NAZIMWAGA MBILI MBILI THEN NIKAPUNGUZA HUDUMA YA CHAKULA, NIKAAGIZA NUSU KUKU, NDIZI MOJA HALAFU TUKASHEA WOTE. Uroho ukawaisha na ishu nikaondoka nayo lile ngurupembe nikamuunganisha msela wangu alikuwa pale akasepa nalo namie huyoooo nikajisunda kimiani. Then kuanzia siku hiyo nikajua demu ni mlupo so huwa kila akipiga namuambia nipo arusha ila nikiwa na hamu nae nampigia najifanya ndo nimekuja dar! Looools!

sasa hapo kuna ukauzu gani ulio ufanya,maana kama ni kuliwa umeliwa?
 
mimi na msela wangu,tulifika club tukakutana na mashori wawili tukanywesha,ilipofika mda wa kwenda kupanjuka wakatupeleka guest ambayo wamezoeleka,kufika wakaanza kutupiga mkwara eti wao ni ma afande tuwambie sisi ni wa wapi na tunafanya kazi gani. Tukawapoza na maneno matamu tukaigia room double beds.wakagoma kutoa mchezo eti tulale kwanza,walipopitiwa na usingizi wa pombe, tukajichukulia simu zao nne, ki ipod.na kusepa nazo.tukapanda magari ya kuja sirari border hii ilitokea kisii kenya.true story.cheza na mtz wewe.

kwa hyo mliiba sio?
 
afu unajiona mjanjaaa?!..ukimwi unakujaga kwa style hiyohiyo

Ila umeukubali ukauzu wangu we mama Isaack, mie hupenda kuwazingua wanaokuja kichwakichwa, eti akiona unafunguo inayofanana na ya gari anaanza kukuona wewe wa maana! Huyo dawa yake ni kuwa bandidu tu! Ataisoma namba! Fulu.
 
sasa hapo kuna ukauzu gani ulio ufanya,maana kama ni kuliwa umeliwa?

Senator hujanisoma! Pamoja hela nilikuwa nayo lakini hawakunila sababu niliwaongezea pombe na kupunguza huduma ya misosi so walilewa mapema hawakunipa gharama na bado wakawa consumed at zero cost! Ha ha!
 
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!

ha ha ha! mwanaume shangingi wewe!!
 
acha nitulie tu
maana kichowahi nipata ni aibu to the nth degree
lakini maisha yanasonga, ujana maji ya moto kwa kweli.

Na ndio maana wazee wana ya kusimulia mengi lol

keeping it real is the best!

Aaaaaaah kongoshoo tupe experience yako bwana.. Share with us
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom