Umewahi kubanwa na haja ukiwa kwenye foleni ya Bank?

swali zuri na hakuna mtu ataenda bank akiwa na haja kubwa. Tatizo likitokea ghafla inakuwaje?
 
Benki ni nadhifu sana na wafanyakazi wake daima ni watanashati, kwanini hawataki kutuwekea vyoo sisi wateja wao tunaowapelekea fedha?
 
Benki ni nadhifu sana na wafanyakazi wake daima ni watanashati, kwanini hawataki kutuwekea vyoo sisi wateja wao tunaowapelekea fedha?

Benki siyo sehemu ya kwenda kujisaidia ni sehemu ya kuhifadhi pesa. Wakiweka vyoo itakuwa kama baa, mtu anajifanya kama mteja kumbe anataka akajisaidie. Hakuna kuweka vyoo benki. Period!
 
Benki siyo sehemu ya kwenda kunya ni sehemu ya kuhifadhi pesa. Wakiweka vyoo itakuwa kama baa, mtu anajifanya kama mteja kumbe anataka akanye mimavi yake. Hakuna kuweka vyoo benki. Period!

hivi sio wewe uliyebanwa na haja posta? Ngoja nirudi kwenye ile thread.
 
Wewe Cookie kwanini unapenda sana kuedit post zangu? Sheria za JF haziruhusu mtu yeyote kuedit post za mwingine bila taarifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom