Umewahi jaribu hii kitu...

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Ushawafi kugombana na mamaa,halafu mkachuniana,then baadae mnarudiana,pata picha mlivyomisiana..penzi linakuwa jipyaaaa...raha sana kuwa na likizo kidogo kwenye mapenzi..jaribuni.

Ila wengine hawanaga likizo,mkigombana tu anasepa mazima,mpaka umrudishe utalia,na kama kasha kabwa na mwingine utakoma..ilintokea sijaribu tenaaaaa.
 
Huo utamu unaousikia umewekwa na wenzio waliokuwa wanatumia wakati wewe umenuna, shauri yako
 
mi huwa nafanya hivi: nikigombana na mwenzi wangu kiasi cha kutengana, namwambia kama ni hivyo basi tupige cha mwisho tuagane kabisa, then tukipiga cha mwisho na biashara ya kutengana inaishia hapo hapo.
 
Du!!!.Nimeikubali hiyo mkuu!
 
mi huwa nafanya hivi: nikigombana na mwenzi wangu kiasi cha kutengana, namwambia kama ni hivyo basi tupige cha mwisho tuagane kabisa, then tukipiga cha mwisho na biashara ya kutengana inaishia hapo hapo.

we mkaree!
 
Back
Top Bottom