Umetia fora,Unaboa kweli

hivi chai ikiwa ya moto sana
miluzi hairuhusiwi ??????lol

unakunywa taratibu,sio unavuuuuta hadi unakua kama una nyanya
shingo juu,...
au ukiona ya moto punguza speed ya kupata breakfast,...

Ingekua uji unaweka kwenye bakuri una zungusha haha
 
halafu kaka mwenyewe yuko kwenye mambo ya marketing hasa sijui inakuwaje.
table manners muhimu nitahakikisha kibinti changu nakitrain mapema.

yeah,kafunde vyema ili miaka hiyoooo nikianza kuka "fatakisha" kasije
kunitia kinyaa tukiwa out
 
sawa kabisa.japo nikiwa mtoto niliambiwa kupooza chai kwa kisosi ni dalili ya kuwa disorganised! u should set ample time ya kunywa chai yako,what if inakumwagikia?u will spoil ur day for just a cup of tea!
huyo mkaka wa marketing siku akialikwa in a bussiness dinner ama working lunch,kwisha kazi yake.too bad hatamjua mchawi wake.mama mkwe,bora ungemstua kiaina!
au apooze kwa basi
 
Acha hiyo wandugu, kuna lijamaa week end iliyopita limetema makohozi makubwa kwenye sakafu ya cement hapo hapo lilipokaa karibu na mimi, nilichukia nikatukana na kuondoka.
 
Acha hiyo wandugu, kuna lijamaa week end iliyopita limetema makohozi makubwa kwenye sakafu ya cement hapo hapo lilipokaa karibu na mimi, nilichukia nikatukana na kuondoka.

duh,hiyo ilikua balaa kweli haha,...
kama hadithi ya kufikirika vile,yanatokea hayo kweli?
 
Kama Chakula kitamu nifanyeje sasa? bebu imagine nakula tambi, ndizi mix na asali inakuwaje? Utamu bwana!
 
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!

kumbe unaimba mitaarabu , kila sku naona hilo li head fone lako najua wewe ni mtu wa maaana , kumbe kazi yako ni mitaarabu na vijembe? ndio maana umemfukuza nnape asubuhi
 
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!

...yah huyo hafai. Ila kuna wengine wanatafuna kimya kimya mno bana..
raha ya chakula ni "...issshhh, ...aaah, na yalaaa!" za hapa na pale!
 
kuna mmoja yeye mbele za watu anajichokonoa pua,na mdomo mpaka aupindishe,sijui raha zimemkolea?watu wakamtunga jina bila ya mwenyewe kujua.watu kama hao ukitaka uogombane nao,uwaambie ukweli.ustaarabu muhimu
 
Madongo mpaka JF???!Enhe kwani mbwa analulaje vile....??

Lizzy ushawahi sikia paka anavyokunywa maziwa, basi hivyo hivyo, mimi nafanya kazi na jamaa hii ndo kula yake, kwa jinsi navyomuheshimu nashindwa kumwambia, basi ikikaribia lunch time ya kula chakula cha mchana naanza kumchikia, hii inakera sana naona bora mtu aj*mbe tu nijue moja kuliko tabia hii. Inanikera more than maelezo.
 
Sasa kwanini msiwasaidie mkawaambia ili wajirekebishe badala ya kuwasema wakishaondoka?!!?!
 
Chakula gani wazungumzia mwenzetu, damu? Maana mbu ndo zenu.

....mmnnnnh, sema kisusio bana, damu ndio nini?

huyu ana waza damu mda wote tu

...khe khe khe kheheee!!!!!!
images
 
hahaha,i feel ya!khaaa,table manners muhimu bana!jana nimeingia kwenye mgahawa nikalazimika ku-share meza na ustaadhi mmoja.kwanza ana ndevu kibao,afu anakula ugali na nyama na beans kwa uma na kisu.lol,anatafuna kama mashine ya kukoroga keki!mdomo umetapakaa misosi kama sufuria iliyosongea ugali,ndevu nazo zimeshikilia ziada ya msosi!he spoiled my lunch japo nilijitahidi sana kutomuona ila hizi compound eyes,mweh!

teh teh teh umenichekesha sana sipati picha kwa kweli,kuna watu wanakula vibaya jaman naelewa why speaker kapatwa jazba.
 
Back
Top Bottom