Madongo mpaka JF???!Enhe kwani mbwa analulaje vile....??Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?
Nope,ume haribu lunch yangu!
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?

una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na

mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!
hahaha,i feel ya!khaaa,table manners muhimu bana!jana nimeingia kwenye mgahawa nikalazimika ku-share meza na ustaadhi mmoja.kwanza ana ndevu kibao,afu anakula ugali na nyama na beans kwa uma na kisu.lol,anatafuna kama mashine ya kukoroga keki!mdomo umetapakaa misosi kama sufuria iliyosongea ugali,ndevu nazo zimeshikilia ziada ya msosi!he spoiled my lunch japo nilijitahidi sana kutomuona ila hizi compound eyes,mweh!
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?
Nope,ume haribu lunch yangu!
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?
Nope,ume haribu lunch yangu!
hivi chai ikiwa ya moto sana

miluzi hairuhusiwi ??????lol
halafu kaka mwenyewe yuko kwenye mambo ya marketing hasa sijui inakuwaje.Dah,ume nichekesha kweli aisee!
Ni challenge kwa mtoto wako lakini baadae,asije aibika buree!
We assume mtu kama huyu aende sehemu ya heshima hivi,wageni kibao,...
unadhani anae aibika ni yeye?
wazazi!
duh,sidhani kama huyu jamaa kwao ni matawi kiasi hiko,.Tatizo wengine wamezoea kutafuniwa na kulishwa mpaka waende shele za bweni. Waache wazeeke zao.